min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Yeah, na ulevi wangu wote nimeona hilo just imagineDah 😠Kuna muda kichwa iko empty kama sa hivi, ndio kwanza naingia JF kurefresh.
Asante champ 🥰
Yeah, na ulevi wangu wote nimeona hilo just imagineDah 😠Kuna muda kichwa iko empty kama sa hivi, ndio kwanza naingia JF kurefresh.
Asante champ 🥰
Nasikia walevi ni wasema kweli 😂Yeah, na ulevi wangu wote nimeona hilo just imagine
Hahaha dah nimecheka, muda mwingine unatukanwa badala ya kujisikia vibaya unaweza kucheka tu.Kuna Professor mmoja humu aliandika kitu kuhusu mambo aliyosomea akaambiwa hajui lolote poyoyo hana kitu kichwani! Usikute aliemwambia hivyo ni la saba au form four alipata F karibu zote. Yaani hapo ndio utachoka kuwa JF kama una roho nyepesi 😂 😂
Sio kweli, ni nadharia tu, ila najaribu kuzichalenge comment zako mara nyingi naishia kufuta tu kwa sababu zina madiniNasikia walevi ni wasema kweli 😂
Halafu wewe ni professor, unasema dunia ni kama tufe mtu anasema poyoyo hujui kitu, kama ni tufe mbona nchi zilizoko pembezoni hatusikii watu wake wameangukia kwenye space wanapotembea juu yake! 😂 😂Hahaha dah nimecheka, muda mwingine unatukanwa badala ya kujisikia vibaya unaweza kucheka tu.
Kwamba " poyoyo hajui lolote hana kitu kichwani" 😂😂
😂😂 watu huwa wanakurupuka sana kujibu hoja humu ndani.Halafu wewe ni professor, unasema dunia ni kama tufe mtu anasema poyoyo hujui kitu, kama ni tufe mbona nchi zilizoko pembezoni hatusikii watu wake wameangukia kwenye space wanapotembea juu yake! 😂 😂
Kweli mkuu, Kuna Moja Mimi nimezungumzia kuhusu Leseni za Udereva zinapoisha, kwamba kuhuisha inabidi dereva aende Tena kusoma!imeishia like,fire ni more comments!Kuna watu wanatembelea JF ilikusoma threads za watu wengine na kazi yao ni kutoa likes, laughs, dislikes, fire etc peke yake, Nadhami mnatambua JF wametengeneza system kwa namna mbayo thread isipopata replies au comments basi itazidi kushuka chini na kupotea, ili kutoa nafasi ya juu kwa thread zenye kupata comments nyingi.
Sasa nimeona mara nyingi thread inapata likes na fire nyingi sana, kwa sababu watu wameifurahia sana thread au comment kwenye thread, lakini wanaishia hapo tu, kutoa likes bila comments. Matokeo yake unakuta ni uzi au thread ya maana sana lakini inapotea kwa sababu haipati replies.
Basi nawasihi members wa JF, palae mnapoona kuna thread inaongea mambo ya maana na ya msingi, usiishie kutoa like peke yake. Toa comments zako hata kwa kifupi tu ili hiyo thread iliyokugusa au kifurahia au kuiunga mkono kwa dhati isomwe na watu wengi zaidi. Unapotoa comments kwa kwenda kwenye reply, unaendelea kuipa thread uhai na kuifanya ibaki kwenye chat kwa muda mrefu.
Tusiwe watu wa kufurahia tu yanayosemwa na wengine, tuwaunge mkono wanachosema kwa kutoa maoni yako au maneno mafupi juu ya thread ili kile tulichosoma na wengine wapate kukisoma.
Mimi nina ID yangu humu ya kitaaluma ila nilishachoka kuchangia, na nimechangia sana kwenye thread za sayansi na teknolojia ila unaushia kutukanana na fwamba muuza mifuko au boda,Kuna Professor mmoja humu aliandika kitu kuhusu mambo aliyosomea akaambiwa hajui lolote poyoyo hana kitu kichwani! Usikute aliemwambia hivyo ni la saba au form four alipata F karibu zote. Yaani hapo ndio utachoka kuwa JF kama una roho nyepesi 😂 😂
Afadhali wewe umechangia!😂 😂
Hivi leseni ikiisha ni shule tena, au ni kama hukuwa na cheti?Kweli mkuu, Kuna Moja Mimi nimezungumzia kuhusu Leseni za Udereva zinapoisha, kwamba kuhuisha inabidi dereva aende Tena kusoma!imeishia like,fire ni more comments!
🥹ðŸ˜ðŸ¥°ðŸ¥°Sio kweli, ni nadharia tu, ila najaribu kuzichalenge comment zako mara nyingi naishia kufuta tu kwa sababu zina madini
Yeahhhhh I know ( kwa sauti ya mboneke)😆🥹ðŸ˜ðŸ¥°ðŸ¥°
I’m humble you know (kwa sauti ya Lemutuz, Rest easy man)
WellKuna watu wanatembelea JF ilikusoma threads za watu wengine na kazi yao ni kutoa likes, laughs, dislikes, fire etc peke yake, Nadhami mnatambua JF wametengeneza system kwa namna mbayo thread isipopata replies au comments basi itazidi kushuka chini na kupotea, ili kutoa nafasi ya juu kwa thread zenye kupata comments nyingi.