Wana-JF tusiwe wavivu ku-comment na kuishia kutoa likes nk peke yake; reply thread nzuri ili zikae kwenye chat muda mrefu na ujumbe usomwe na wengi

Hahaha dah nimecheka, muda mwingine unatukanwa badala ya kujisikia vibaya unaweza kucheka tu.

Kwamba " poyoyo hajui lolote hana kitu kichwani" πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha dah nimecheka, muda mwingine unatukanwa badala ya kujisikia vibaya unaweza kucheka tu.

Kwamba " poyoyo hajui lolote hana kitu kichwani" πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu wewe ni professor, unasema dunia ni kama tufe mtu anasema poyoyo hujui kitu, kama ni tufe mbona nchi zilizoko pembezoni hatusikii watu wake wameangukia kwenye space wanapotembea juu yake! πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ watu huwa wanakurupuka sana kujibu hoja humu ndani.
 
Kweli mkuu, Kuna Moja Mimi nimezungumzia kuhusu Leseni za Udereva zinapoisha, kwamba kuhuisha inabidi dereva aende Tena kusoma!imeishia like,fire ni more comments!
 
Mimi nina ID yangu humu ya kitaaluma ila nilishachoka kuchangia, na nimechangia sana kwenye thread za sayansi na teknolojia ila unaushia kutukanana na fwamba muuza mifuko au boda,
Nikaamua kuanzisha hii ya kwenda nao sambamba
 
Kweli mkuu, Kuna Moja Mimi nimezungumzia kuhusu Leseni za Udereva zinapoisha, kwamba kuhuisha inabidi dereva aende Tena kusoma!imeishia like,fire ni more comments!
Hivi leseni ikiisha ni shule tena, au ni kama hukuwa na cheti?
 
Sio kweli, ni nadharia tu, ila najaribu kuzichalenge comment zako mara nyingi naishia kufuta tu kwa sababu zina madini
πŸ₯ΉπŸ˜­πŸ₯°πŸ₯°

I’m humble you know (kwa sauti ya Lemutuz, Rest easy man)
 
Well
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…