Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

si ndio hicho kikao mkuu kitaamua...pia kuna uwezekano wa kwenda na kipepeteo
watu8 hapo kwenye KIPEPETEO sijakunasa kaka....hebu funguka zaidi
 
Last edited by a moderator:
KakaKiiza kama nivea anakuja basi mtanikuta Tanga siku tatu kabla nikiwa nawangojea kwa hamu lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Haya nimekuja mwenyewe!
Hehehee
Si nimekumiss sana aisee lol
Mzima? nimekuona unazunguka huku na huko na huku kama mawimbiiiiiiiiiii.....teh
Nimefurahi kukuona hope nitalogout soon
 
Last edited by a moderator:

Alafu wewee ngoja kwanza zunguka huku uje usaini sensa umesema unaenda Tanga na nanii nivea au Madame B.
 
Last edited by a moderator:
He, si usubiri nikuite na wewe Kipipi? Kule kwetu Karagwe ,mtoto wa kike shurti uwe na aibu na subra kidogo! khaaa ngoja Bishanga aione hii
Heeeee Kaizer hii ni karne ya digital yan hakuna chenga wala kuanza kutafuta channel ukijua digits tu kitu hakikusumbui...sasa unataka Kipipi aanze mara oooh unaniita Kipipi mimi au ukimwambia ndio wewe atasema aku mi sitaki kwanza naogopa....!
Hayo mambo ya zamani ndio maana hata Bishanga anahangaika kila kona....wahaya bhana lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…