super dear....labda nikueleweshe........sisi wenyewe tunafanya kila kitu....long base za kwetu......ofisi za kwetu.....petrol station tu ndio hatuna ila tuna mpango wa kuanzisha......umeelewa sasa......
poa poa nimekupata bila chenga P, kumbe you have your own cars....
so, ni hoteli gani mliofanya booking kule TANGA, incase hutaki kudisclose jibu waweza lituma PM
hili la malazi......tuna kamanda wetu machachari sana (najua unanisoma hapa kamanda).....ndio analishughulikia......tutafahamishana....(ila ni kwa PM)....
you're the best P....
poa basi kwa hilo PM itahusika wakati muafaka ukifika
Yani mtu akinita mswahili tu nakwambia kama yupo karibu nampa nzito ya usoni tu! Ndivyo member wengi wa Dar wamekuwa hivyo blaablaa nyingi sana!
ha ha....sio hivyo bana....sisi tunawapenda.......wao wanatupenda....tunapendana.......
Poa hata hapo siyo mbaya mkuu nomba mapendekezo yenu Smile, Mamndenyi Caroline Danzi, Nicas Mtei Kipipi nawengineo!Pale hongera au canteen ya ustawi wa jamii ijumaa hatuwezi kuongea sababu wanakua na liveshow so hatuwezi sikilizana sababu ya kelele za maspika na wacheza pool. tafuta sehemu nyingine. napendekeza pale mzalendo. mia
hebu tuongee mkuu hii mambo tufanyeje?
Poa hata hapo siyo mbaya mkuu nomba mapendekezo yenu Smile, Mamndenyi Caroline Danzi, Nicas Mtei Kipipi nawengineo!
Namtafuta mwaJ, nani kanionea humu?
Uzuri wa hiyo ina faida mbili kwanza unashiba kisha unapata stimu hata vitambi vyake vinakuwa balaa
Eti mpwa, kuna watu wanakunywa biya kwa buku 3? Watu wana hela sana.
Niko tayari kukodi teksi toka Bunju mpaka Tip Top kufuata biya kwa 1800 kuliko kunywa kwa buku 2 hapo Tegeta.
Biya na iheshimiwe na watu wote.
Eti mpwa, kuna watu wanakunywa biya kwa buku 3? Watu wana hela sana.
Niko tayari kukodi teksi toka Bunju mpaka Tip Top kufuata biya kwa 1800 kuliko kunywa kwa buku 2 hapo Tegeta.
Biya na iheshimiwe na watu wote.
Mkuu wangu haipaswi kuwasema vibaya mashemeji zetu.
Wasingekuwa na dada tungeoa wapi?