Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!


weraaaa.....orait orai....ngoja nikujibu mada yako taaaaamu.......
1. Gari tunalikodi kwa siku....so kila tutakapokuwa tunakwenda kama linahitajika......litakwenda.....
2. Gharama zote ni inclusive.....nikiwa na maana....kila kitu kimekuwa covered na kiasi cha pesa kitakachokuwa kimelipwa....sijui unanielewa......

Preta......Tour Leader....
Jf Expeditions
 

nimekupata ila nisaidie kujibu hili swali

1. Gari tunalikodi kwa siku....so kila tutakapokuwa tunakwenda kama linahitajika......litakwenda.....

Hilo GARI ndio mtakalotoka nalo Arusha au litakodiwa huko TANGA?

 
wewe ndo leader?
 
Afu kwanini ulitoroka? Yawezekana una bahati mbaya sana. Hujajua tu.

Siku nyingine usikubali kuuziwa mbuzi kibudu kwenye kiroba na Turbo Charger Madame B.

Babu Asprin Visa niliyokuwa nayo siku ile ilikuwa inaexpire saa 3 na sikupenda kumkwaza Filipo !Siku nyingine ntaomba visa ya shengen kabisa!!!
 
Last edited by a moderator:
watu8 Kuwa mpole kidogo na mwongozo mzuri mtapata usio na mawimbi hata kidogo!

Ningeweza kuwa msemaji lakini msemaji mkongwe yupo na hata hivyo watu8 tutawasiliana katika siku hizi mbili ama tatu!


 
Last edited by a moderator:
nimekupata ila nisaidie kujibu hili swali

1. Gari tunalikodi kwa siku....so kila tutakapokuwa tunakwenda kama linahitajika......litakwenda.....

Hilo GARI ndio mtakalotoka nalo Arusha au litakodiwa huko TANGA?


gari tunatoka nalo Chugga na kurudi nalo....si tumeamua kula bata bana.......
 
watu8 Kuwa mpole kidogo na mwongozo mzuri mtapata usio na mawimbi hata kidogo!

Ningeweza kuwa msemaji lakini msemaji mkongwe yupo na hata hivyo watu8 tutawasiliana katika siku hizi mbili ama tatu!

Haina shida mkuu ila nani atakayetoa huo mwongozo?
 
Wale wote wanaobuki na kubukiwa mie ndio mkusanya sensa pitia hapa.:becky::becky: sio kuchukua hoteli nzima kumbe watu wanalala dabo....
 
Arif unafanya gani hapa? Utaharibu move ujue.......

Hahahaha niko makini. Vigezo vya mwaka 2009 kuzingatiwa

Tutaona....mimi naendelea kutazama tu hapa...
Halafu mkuu unajua dirisha dogo la usajili kule kwetu limefunguliwa rasmi....linafungwa january 9th. Fanya ulete tuwili hivi.....kubalance, ofcoz na kukufanya uanze kuja mazoezini dagaadagaa.
 
Wale wote wanaobuki na kubukiwa mie ndio mkusanya sensa pitia hapa.:becky::becky: sio kuchukua hoteli nzima kumbe watu wanalala dabo....

ooh yeees....hili lilikuwa limesahaulika kidogo kweye hadidu za rejea... PakaJimmy naomba unakili tafadhali.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…