Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
mawazo ya kipumbavu kuyaona tangu mwaka 2020 uanzeNimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.
Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.
Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Sawa Mkuu ngoja nikaichaji Tecno C9 yangu.Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.
Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Tenya wenye za button ndio matajiri wengi chunguza uone maskini ananunua vitu vya bei ili aonekane
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefanya utafiti humu member wengi ni maskini na wanatumia Tecno.
Mungu awatie nguvu walau mwaka huu watumie simu za maana.
Pro Au Ya kawaida