Wana jukwaa, hivi mtu kama huyu angepataje tunzo ya masuala ya haki tena kimataifa?

David McAllister alitumia kila rasilimali ya ofisi yake kulazimisha kitu ambacho ni completetly ni irrellevant na masuala ya haki za binadamu.

In fact,
itambidi ajiuzulu kwakua hakutenda haki kwa wawania tunzo wengine ambao hawakua na access ya rasilimali za EU🐒
 
Atapewa tuzo ya kukinukisha
 
Swali linaendana na mada kwanini mama hakuchaguliwa kushiriki tuzo hizo wakati yeye ni bingwa wa demokrasia nchini?
Yaani mwenyekiti wa kamati ya haki za binadamu katika bunge la EU, kasimamia show mwanzo mwisho, halafu anakuja kushinda ambae hata hakufanya kampeni.

hii ni fedheha kubwa sana kwa David MccAllister, in fact huenda akajiuzuli as soon as possible🐒
 
Ndio Nimekupa utaratibu uko hivyo!Hizo nyingine ni porojo tu!Isingekuwa ICC na interest zake Kwa Sasa,Lissu alikuwa anachukua hiyo Tuzo!
 
Atapewa tuzo ya kukinukisha
Yes,
nadhani akina heche wamuandalie hiyo inaweza kumfaa zaidi aise.

wamuandalie na tunzo ya kwenda kuficha familia yake ng'ambo🐒
 
Ndio Nimekupa utaratibu uko hivyo!Hizo nyingine ni porojo tu!Isingekuwa ICC na interest zake Kwa Sasa,Lissu alikuwa anachukua hiyo Tuzo!
sasa umeanza kuleta khabari za ingekua right?

ICC nani kaifanyia kampeni?

kulikoni mwenye timu mwenyewe na refa mwenyewe halafu bado unapigwa bao huku unajiona?

david bana?
 

Attachments

  • images (2).webp
    18.8 KB · Views: 5
Kwako mkata viuno Bora Bora sana wa Lumumba buku7 mwenye 1&2 wapi ulisikia mh Lissu alikua mgombea au unajitia dore na kunusa nini
 
Ila wakati mwingine ukiwasikiliza hawa jamaa Lissu na Heche unabaki unajiuliza kama wana akili timamu ama la!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…