Naweza "kuamini" kuwa nimefika hapo kisiwani kwa meli baada ya kuambiwa na Eiyer kumbe ukweli ni kuwa nilifika kwa ndege. Kama vipi nithibitishie kuwa nilifika kwa meli na siyo ndege.
Nikwamba kama huamini amini unachoamini ila forget about GOD ,You want to avoid GOD In order to prove if he exists thats the first ,if you know he doesnt exists why do you want to prove you know why is because you are finding the truth because you just knw what you know ukifahamu people why hawataki kufa utapata majibu
Pamoja na maelezo yote hayo hiki ndicho unaniuliza??
Nilichokisema na ulichokisema hapo juu hakina tofauti na hukustahili kuniuliza swali hilo kama ulinielewa!!
Kanisome tena huku umetuliza kichwa, sijasema popote kuwa Mungu ana uwezo sawa na shetani, nimesema Mungu ana uwezo zaidi ya shetani, ila nimesema mwanzo wao ni the same na source of powers is the same!.
Pasco.
Naona blah blah zinaanza tena.
Kama science doesnt prove Mungu yupo huku uchawi ni evidence ya whats written in the bible since uchawi wenyewe umeandikwa, na kuona hilo bado unabisha kua uchawi waweza kua science ambayo ni advanced zaidi, basi that simply shows science obeys religion, na kwa kujaribu kusema uchawi ni advanced science sawa na prediction yangu kua utasema uchawi ni science, umejionyesha wazi, wewe napoteza muda na wewe... Tafuta evidence sasa uprove maana naona wewe hadi einstein anaekubali uwepo wa Mungu umemshinda..
Mkuu naona statement yangu hukuona vizuri kua nimesema sina muda na wewe tena... Nadhani hii ndio post ya mwisho, we endelea na hivo vitabu vyako!!! We c uko deep, tunajua unawajua Shakespear na Nastradamus.. tumekuelewaFirst thing first, unaweza ku prove uchawi upo?
Unajua tofauti ya uchawi na mazingaombwe?
Na utahakikishaje kwamba huu ni uchawi na si mazingaombwe kama unajua tofauti?
The bible is a vast collection of books, you can attribute anything and everything to it, just like "The Prophecies of Nostradamus" "The Collected Works of Shakespeare" au methali za Kiswahili.
That renders the bible argument useless.
Mkuu naona statement yangu hukuona vizuri kua nimesema sina muda na wewe tena... Nadhani hii ndio post ya mwisho, we endelea na hivo vitabu vyako!!! We c uko deep, tunajua unawajua Shakespear na Nastradamus.. tumekuelewa
Hizi ndoto zako nimeshajadiliana sana na wewe na inaonekana huelewi kabisa
Nilikupa mfano ule na bahati mbaya sana umeshindwa kuuelewa
Na tatizo kubwa zaidi unadhani unaposhindwa kuelewa maelezo yoyte unadhani tatizo ni la mtoa maelezo wakati ni lako wewe
Ni kwanini unadhani kuwa kama Mungu hakuumbwa basi na binadamu nae hajaumbwa?
Ni kwanini unadhani kama binadamu hawezi kupaa angani basi viumbe vingine navyo haviwezi kupaa?
Unajua Mungu ni kitu gani wewe hadi unasema kama nae hajaumbwa basi na binadamu nae anaweza kuwepo tu bila kuumbwa?
Unakubalije kuwa binadamu katokea tu?
Unatumniaje mantiki ipi kukubali hili?
Yes najua kuwa hata kama hakutokea tu inawezekana awe hajaumbwa na Mungu,lakini je unakubali kuwa huyu binadamu ana mwanzilishi?
Kama unakana huoni kuwa unajikinza na mantiki?
Unapotumia argument ya complexity kusema kwamba "the universe is so complex, therefore it must be created" au "the human brain and body is so complex, therefore it must be created" unasema kwamba kitu complex ni lazima kiwe created.
Kama mwanadamu au ulimwengu ni vitu complex, na vitu complex ni lazima viwe created, then kilichoumba hivi vitu complex ni lazima kiwe complex zaidi.
Na kama ni complex zaidi, basi haja ya hicho kilichoumba kuwa created kuwa nacho kimeumbwa ni kubwa zaidi.
Kwa sababu our principle is that complexity must be created, and it follows that greater complexity has a greater need to be created than smaller complexity.
Ndiyo maana nikakwambia huwezi kusema kiti cha kukalia ni lazima kiwe kimetengenezwa, kwa sababu ni complex, lakini binadamu aliyekitengeneza kiti awe hajaumbwa.
Au jumbo jet lenye viti mia kadhaa na uwezo wa kuruka bara mpaka bara, liwe halijaumbwa.
Ukitumia complexity as an argument for creationism, instrisically unasema kwamba mungu kaumbwa, na aliyemuumba kaumbwa ad infinitum, ad absurdum.
Unajua Mungu ni kitu gani wewe hadi unasema kama nae hajaumbwa basi na binadamu nae anaweza kuwepo tu bila kuumbwa?
Nasikitika kuwa umeshindwa kuielewa sentensi simple kama hii hapa chini
Na hiyo ini moja kati sentensi nilizokuandikia nikidhani kuwa ungeelewa
Kama umeshindwa kuielewa hiyo sentensi sishangai wewe kushindwa kuelewa maelezo mengine niliyokupa
mwisho wa number ni ngapi?
Kwa nini unafikiri kuna mwisho wa namba?
kuuliza mwisho siyo kwamba nina maana ya kufikiri kuna mwisho na kama nafikiri kuna mwisho kwanini niulize je nani kasema swali lina determine computation na execution ya ubongo wake na je nikisema mwisho ukweli wa mwisho ni nini?
Though wasn't directed to me I will throw my 2 cents.Which Kingdom are you talking about? If the entire universe is the Kingdom of God, where does shetani live?
Is this scientific statement? Can it be proved?Hakuna aliyethibitisha kuwepo kwa mungu bado.
Is this scientific statement? Can it be proved?
Silly!