Wana VIKINDU tunaiomba Serikali imruhusu RACHAZ atujengee barabara ya Kazole kutunusuru na El Ninô

Sharif walid

Member
Joined
Sep 21, 2026
Posts
96
Reaction score
90
Assalam Alaykum ndugu zangu wanabodi.

Kwa unyenyekevu mkubwa ninaiomba serikali imruhudu Rachaz anayetaka kujitolea kujenga barabara ya Kazole ila nia yake hiyo imegonga mwamba kwani inasemekana serikali imemkatalia.

Sijui sheria inasemaje kuhusu mwananchi kujitolea ujenzi wa barabara ila kama sheria haziruhusu basi tunaiomba serikali itujengee hii barabara kwani El Nino ikiikuta ilivyo uwezekano wa maafa ikiwa ni pamoja na nyumba zilizoko pembezoni mwa barabara kubosombwa ni mkubwa.

Najua serikali ina namna yake nzuri ya kufanya kazi ila nashindwa kuelewa kwanini mtu akataliwe kujitolea jambo litakalosaidia wengi katika jamii.

Naomba nifunge kwa kusema kama hamtaki huyu bwana atusaidie basi tunawaomba nyie serikali mtuokoe raia wenu.Tunaomba mtujengee hii barabara maana wengine hatupati hata usingizi tunahofia vibanda vyetu vilivyoko pembezoni kusombwa na maji.

Ni mimi raia myenyekevu.
W.Sharif.
Vikindu.

ASANTENI
 
Wanataka hela iingizwe kwenye account zao wafanye tathmini mwaka mzima baadae wapite nayo
 
Nafikiri hili jambo ungelipeleka moja kwa moja afisi ya serikali ya mtaa hapo Vikindu lingekuwa rahisi kutekelezeka,lakini pia hudaiwa serikali hukataa watu kujitolea kujenga barabara ili zisije zikajengwa chini ya viwango.

Though yenyewe nayo sometimes hujenga mbovu vile vile.
 
Wanajari basi! washenzi wale 29 october walisaga roho za kutosha watakuja wakuhurumie wewe?
Inabidi watuhurumie tu.
Eidha wamruhusu jamaa au wafanye wao
Mie kibanda changu kikisombwa itabidi nijiue tu mana ile familia nitaipeleka wapi na huu ulemavu niloupata!!Matibabu na kula yenyewe shida sasa mvua zikisomba hili banda linatusaidia kujihifadhi na posho kidogo ya kodi si mwanaume bora nijipumzishe tu.
 
Inabidi watuhurumie tu.
Eidha wamruhusu jamaa au wafanye wao
Mie kibanda changu kikisombwa itabidi nijiue tu mana ile familia nitaipeleka wapi na huu ulemavu niloupata!!Mstibabu na kula yenyewe shida sasa mvua zikisomba hili banda linatusaidia kujihifadhi na posho kidogo ya kodi si mwanaume bora nijipumzishe tu.
MKuu kwanza pole lakini tafuta alternative tu wala usijisumbue na serikali hii batili, na hata ukiwaona wanahangaika kutangaza ujue wananufaika kupiga hela
 
Nafikiri hili jambo ungelipeleka moja kwa moja afisi ya serikali ya mtaa hapo Vikindu lingekuwa rahisi kutekelezeka,lakini pia hudaiwa serikali hukataa watu kujitolea kujenga barabara ili zisije zikajengwa chini ya viwango.

Though yenyewe nayo sometimes hujenga mbovu vile vile.
Taarifa wanazo hadi Diwani wetu.
Huo mwaka watakaokuja wao kujenga za viwango ni lini?
Wangemruhusu tu huyu bwana huo muda wao ukifika wa kutukumbuka kama wataona haina viwango wavunje watujengee hiyo ya viwango.
 
Back
Top Bottom