Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Hahahaha wapi mamnyong'odeUwee hata mi huko napataka huku kwetu chumba laki2 mchezo!
Hahahaha wapi mamnyong'odeUwee hata mi huko napataka huku kwetu chumba laki2 mchezo!
Mjini hukuHahahaha wapi mamnyong'ode
Ukisema wende kwa kuwategemea hao hutafika ndugu yanguKwamba serekali ya mtaa haioni uhitaji wa ujenzi wa barabara vikindu paka wananchi tuende? Na serekali ya mtaa si wananchi wenzetu tunaoishi nao huku mtaani
Kwamba serekali ya mtaa haioni uhitaji wa ujenzi wa barabara vikindu paka wananchi tuende? Na serekali ya mtaa si wananchi wenzetu tunaoishi nao huku mtaani
Yuwapi aje tupaze sauti
Wameng'ang'ania mijini huko ilhal sehemu kama hizi twaishi kiwepesi kidogo hasa dhahama za kodi.Nipo vianzi hapa nani jirani yangu 🤣
Mleteni diva huku nyumba nzima laki unapanga
Kwa hapo nikitia neno ntakua nadanganya.Atajenga kwa viwango takwa?
Nafurahi kukufurahisha bibie🥰🥰Umenifurahisha sana jamani😂
Ndiyo babanguuuuWameng'ang'ania mijini huko ilhal sehemu kama hizi twaishi kiwepesi kidogo hasa dhahama za kodi.
Kama upo Vianzi mie si jirani yako ila tusaidiane kuipaza sauti
Siasa! Atapata ushawishi kwenye jamii baadae agombee nafasi ya kisiasa achukue ulaji wa watu.Serikali iko radhi ipewe msaada na wageni wa kujengewa choo,kuliko msaada wa barabara kutoka kwa wananchi wake.
Karibu vikindu Seran.Mie mwenyewe ntakupambania upate eneo mujaraba bila kadhia za madalali.Uwee hata mi huko napataka huku kwetu chumba laki2 mchezo!
Ndiyo babanguuuu
Tabu tupuSiasa! Atapata ushawishi kwenye jamii baadae agombee nafasi ya kisiasa achukue ulaji wa watu.
Ngozi nyeusi inawaza madaraka tu.
Sawa jiraniNdiyo babanguuuu