Sharif walid
Member
- Sep 21, 2026
- 96
- 90
- Thread starter
- #21
Ndugu yangu sina altenative yeyote.
Kwa hali yangu sina cha kufanya.
Ndugu yangu sina altenative yeyote.
Kwa hali yangu sina cha kufanya.
Taarifa wanazo hadi Diwani wetu.
Huo mwaka watakaokuja wao kujenga za viwango ni lini?
Wangemruhusu tu huyu bwana huo muda wao ukifika wa kutukumbuka kama wataona haina viwango wavunje watujengee hiyo ya viwango.
Shukrani kwa ushauriUnganeni kama Wananchi muitishe kikao maalum na Mtendaji kata na muwe na muhtasari halafu Mtendaji kata apeleke huo muhtasari kwa Tarura kama ombi la dharura.
Unganeni kama Wananchi muitishe kikao maalum na Mtendaji kata na muwe na muhtasari halafu Mtendaji kata apeleke huo muhtasari kwa Tarura kama ombi la dharura.
Wana vikindu changamsheni mada serikali wauone
Wana vikindu changamsheni mada serikali wauone
Wana vikindu changamsheni mada serikali wauone
Changamoto ni CCM hawajawai kua na huruma kwa watanganyika. Hapo mtu nuksi ni mbunge wenu akihisi kutolewa jimboni na uyo mtu mwema.
Kazi ni kipimo cha utu
Atolewe ubunge kisa mtu kajenga ka barabara ka mtas.Changamoto ni CCM hawajawai kua na huruma kwa watanganyika. Hapo mtu nuksi ni mbunge wenu akihisi kutolewa jimboni na uyo mtu mwema.
Kazi ni kipimo cha utu
Kwanza sidhani kama ishu imefika kwa mbunge wetu ndo mana nimeileta huku.Changamoto ni CCM hawajawai kua na huruma kwa watanganyika. Hapo mtu nuksi ni mbunge wenu akihisi kutolewa jimboni na uyo mtu mwema.
Kazi ni kipimo cha utu
Serikali inawataka sana watu kama wao.
Hapo kuna washenzi a.k.a vihongozi wanataka pesa za serikali zije wachote.
Akijenga mtu binafsi nafasi ya kuiba haitakuwepo.
Nendeni ngazi za juu huyo mpuuzi anayezuia lazima atiwe dole
Hoja nzuri umeiharibu kwa matusi.Serikali inawataka sana watu kama wao.
Hapo kuna washenzi a.k.a vihongozi wanataka pesa za serikali zije wachote.
Akijenga mtu binafsi nafasi ya kuiba haitakuwepo.
Nendeni ngazi za juu huyo mpuuzi anayezuia lazima atiwe dole
Hoja nzuri umeiharibu kwa matusi.
Allah akusamehe