Wana VIKINDU tunaiomba Serikali imruhusu RACHAZ atujengee barabara ya Kazole kutunusuru na El Ninô

Wana VIKINDU tunaiomba Serikali imruhusu RACHAZ atujengee barabara ya Kazole kutunusuru na El Ninô

Nafikiri hili jambo ungelipeleka moja kwa moja afisi ya serikali ya mtaa hapo Vikindu lingekuwa rahisi kutekelezeka,lakini pia hudaiwa serikali hukataa watu kujitolea kujenga barabara ili zisije zikajengwa chini ya viwango.

Though yenyewe nayo sometimes hujenga mbovu vile vile.
Kwamba serekali ya mtaa haioni uhitaji wa ujenzi wa barabara vikindu paka wananchi tuende? Na serekali ya mtaa si wananchi wenzetu tunaoishi nao huku mtaani
 
Back
Top Bottom