Sharif walid
Member
- Sep 21, 2026
- 96
- 90
- Thread starter
- #41
Wana vikindu changamsheni mada serikali wauone
Wana vikindu changamsheni mada serikali wauone
Wana vikindu changamsheni mada serikali wauone
Wana vikindu changamsheni mada serikali wauone
Vikindu ni KijijiNafikiri hili jambo ungelipeleka moja kwa moja afisi ya serikali ya mtaa hapo Vikindu lingekuwa rahisi kutekelezeka,lakini pia hudaiwa serikali hukataa watu kujitolea kujenga barabara ili zisije zikajengwa chini ya viwango.
Though yenyewe nayo sometimes hujenga mbovu vile vile.
Barabara ya kazole ni wpi mkuu.?Assalam Alaykum ndugu zangu wanabodi.
Kwa unyenyekevu mkubwa ninaiomba serikali imruhudu Rachaz anayetaka kujitolea kujenga barabara ya Kazole ila nia yake hiyo imegonga mwamba kwani inasemekana serikali imemkatalia.
Sijui sheria inasemaje kuhusu mwananchi kujitolea ujenzi wa barabara ila kama sheria haziruhusu basi tunaiomba serikali itujengee hii barabara kwani El Nino ikiikuta ilivyo uwezekano wa maafa ikiwa ni pamoja na nyumba zilizoko pembezoni mwa barabara kubosombwa ni mkubwa.
Najua serikali ina namna yake nzuri ya kufanya kazi ila nashindwa kuelewa kwanini mtu akataliwe kujitolea jambo litakalosaidia wengi katika jamii.
Naomba nifunge kwa kusema kama hamtaki huyu bwana atusaidie basi tunawaomba nyie serikali mtuokoe raia wenu.Tunaomba mtujengee hii barabara maana wengine hatupati hata usingizi tunahofia vibanda vyetu vilivyoko pembezoni kusombwa na maji.
Ni mimi raia myenyekevu.
W.Sharif.
Vikindu.
ASANTENI
Vikindu ni Kijiji
Wana vitongoji na sio mitaa.
Kumbe pale tunapopaita serikali ya mtaa ni ofisi ya kitongojiVikindu ni Kijiji
Wana vitongoji na sio mitaa.
Tusaidieni kupaza sauti.
Wewe na mkeo mzuri Muhandwah tunawahitaji kuongea neno wahusikq wasikie
Niwe mkweli hapo sijui.Anayetaka Kuwajengea Ni Katika Viwango Gani
Lami
Ama Anaweka Changarawe
Barabara ya kazole ni wpi mkuu.?
Mimi nina eneo huko Malogoro/vikindu
Vikindu sio marogoroBarabara ya kazole ni wpi mkuu.?
Mimi nina eneo huko Malogoro/vikindu
Mtoa mada tuwekee japo picha ya barabara husika ili tuone umeharibika kwa kiasi gani
Simu yangu imeharibika kamera mkuuMtoa mada tuwekee japo picha ya barabara husika ili tuone umeharibika kwa kiasi gani