Sharif walid
Member
- Sep 21, 2026
- 96
- 90
Wana vikindu changamsheni mada serikali wauone
Wana vikindu changamsheni mada serikali wauone
Wana vikindu changamsheni mada serikali wauone
Wana vikindu changamsheni mada serikali wauone
Wana vikindu changamsheni mada serikali wauone
Wanataka hela iingizwe kwenye account zao wafanye tathmini mwaka mzima baadae wapite nayoAssalam Alaykum ndugu zangu wanabodi.
Kwa unyenyekevu mkubwa ninaiomba serikali imruhudu Rachaz anayetaka kujitolea kujenga barabara ya Kazole ila nia yake hiyo imegonga mwamba kwani inasemekana serikali imemkatalia.
Sijui sheria inasemaje kuhusu mwananchi kujitolea ujenzi wa barabara ila kama sheria haziruhusu basi tunaiomba serikali itujengee hii barabara kwani El Nino ikiikuta ilivyo uwezekano wa maafa ikiwa ni pamoja na nyumba zilizoko pembezoni mwa barabara kubosombwa ni mkubwa.
Najua serikali ina namna yake nzuri ya kufanya kazi ila nashindwa kuelewa kwanini mtu akataliwe kujitolea jambo litakalosaidia wengi katika jamii.
Naomba nifunge kwa kusema kama hamtaki huyu bwana atusaidie basi tunawaomba nyie serikali mtuokoe raia wenu.Tunaomba mtujengee hii barabara maana wengine hatupati hata usingizi tunahofia vibanda vyetu vilivyoko pembezoni kusombwa na maji.
Ni mimi raia myenyekevu.
W.Sharif.
Vikindu.
ASANTENI
Nami nilisikia hivyo ila kwa hizi mvua wangemruhusu tu aisee.Wanataka hela iingizwe kwenye account zao wafanye tathmini mwaka mzima baadae wapite nayo
Wanajari basi! washenzi wale 29 october walisaga roho za kutosha watakuja wakuhurumie wewe?Nami nilisikia hivyo ila kwa hizi mvua wangemruhusu tu aisee.
Inatia hasira.
Mantiki ya hilo ni nini?Serikali iko radhi ipewe msaada na wageni wa kujengewa choo,kuliko msaada wa barabara kutoka kwa wananchi wake.
Inabidi watuhurumie tu.Wanajari basi! washenzi wale 29 october walisaga roho za kutosha watakuja wakuhurumie wewe?
MKuu kwanza pole lakini tafuta alternative tu wala usijisumbue na serikali hii batili, na hata ukiwaona wanahangaika kutangaza ujue wananufaika kupiga helaInabidi watuhurumie tu.
Eidha wamruhusu jamaa au wafanye wao
Mie kibanda changu kikisombwa itabidi nijiue tu mana ile familia nitaipeleka wapi na huu ulemavu niloupata!!Mstibabu na kula yenyewe shida sasa mvua zikisomba hili banda linatusaidia kujihifadhi na posho kidogo ya kodi si mwanaume bora nijipumzishe tu.
Taarifa wanazo hadi Diwani wetu.Nafikiri hili jambo ungelipeleka moja kwa moja afisi ya serikali ya mtaa hapo Vikindu lingekuwa rahisi kutekelezeka,lakini pia hudaiwa serikali hukataa watu kujitolea kujenga barabara ili zisije zikajengwa chini ya viwango.
Though yenyewe nayo sometimes hujenga mbovu vile vile.
Ndugu yangu sina altenative yeyote.MKuu kwanza pole lakini tafuta alternative tu wala usijisumbue na serikali hii batili, na hata ukiwaona wanahangaika kutangaza ujue wananufaika kupiga hela
Ina maana hamna watu wa Vikindu humu