Wana VIKINDU tunaiomba Serikali imruhusu RACHAZ atujengee barabara ya Kazole kutunusuru na El Ninô

Unganeni kama Wananchi muitishe kikao maalum na Mtendaji kata na muwe na muhtasari halafu Mtendaji kata apeleke huo muhtasari kwa Tarura kama ombi la dharura.
 
Taarifa wanazo hadi Diwani wetu.
Huo mwaka watakaokuja wao kujenga za viwango ni lini?
Wangemruhusu tu huyu bwana huo muda wao ukifika wa kutukumbuka kama wataona haina viwango wavunje watujengee hiyo ya viwango.
 
Changamoto ni CCM hawajawai kua na huruma kwa watanganyika. Hapo mtu nuksi ni mbunge wenu akihisi kutolewa jimboni na uyo mtu mwema.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Changamoto ni CCM hawajawai kua na huruma kwa watanganyika. Hapo mtu nuksi ni mbunge wenu akihisi kutolewa jimboni na uyo mtu mwema.
Kazi ni kipimo cha utu
Atolewe ubunge kisa mtu kajenga ka barabara ka mtas.
 
Changamoto ni CCM hawajawai kua na huruma kwa watanganyika. Hapo mtu nuksi ni mbunge wenu akihisi kutolewa jimboni na uyo mtu mwema.
Kazi ni kipimo cha utu
Kwanza sidhani kama ishu imefika kwa mbunge wetu ndo mana nimeileta huku.
Nadhani Diwani wetu ndo kikwazo.
 
Serikali inawataka sana watu kama wao.
Hapo kuna washenzi a.k.a vihongozi wanataka pesa za serikali zije wachote.
Akijenga mtu binafsi nafasi ya kuiba haitakuwepo.
Nendeni ngazi za juu huyo mpuuzi anayezuia lazima atiwe dole
 
Hoja nzuri umeiharibu kwa matusi.
Allah akusamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…