Wana VIKINDU tunaiomba Serikali imruhusu RACHAZ atujengee barabara ya Kazole kutunusuru na El Ninô

Vikindu ni Kijiji
Wana vitongoji na sio mitaa.
 
Barabara ya kazole ni wpi mkuu.?
Mimi nina eneo huko Malogoro/vikindu
 
Anayetaka Kuwajengea Ni Katika Viwango Gani
Lami
Ama Anaweka Changarawe
Niwe mkweli hapo sijui.
Japo sidhani kama uwezo wa lami anao sababu ana uwezo wa kawaida tu.
Labda asaidiane na wengine,tatizo wengine mioyo ya kutoa hawana na wengine hawataki wajulikane wana uwezo.Yupo dada wa kipare ana kiloji wanaomjua wanadai ana pesa ndefu sana ila ni kama kaja Vikindu kujificha jinsi anavyoishi.Unaambiwa ana gari zaidi ya 20 zinapiga mzigo wa utalii mbugani ila anatembea kwa mguu.Ana utitiri wa nyumba kijichi,mbweni na kigamboni ila sijui kwanini haishi uhalisia wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…