WanaCHADEMA tuwe makini juu ya usalama wa Kamanda mwenzetu Lissu. Jukwaa kama hili linaweza kuanguka na kuleta madhara

ASAS hana ubaguzi hata mikutano ya mchungaji Msigwa kule Mwembetogwa ni yeye anayaifadhili!
 
Ila Fedha za kukodi Chopa zipo!!

Wazee wa migombani hapo mmezingua
Acha kuwaza kimasikini! Kujenga jukwaa la kifahari kisha kila siku mkutano mmoja mmoja au kukodi Chopa na mikutano mitatu hadi minne kwa siku faida iko wapi?
CCM wakati mwingine mnaonekana kama retard mentally ndio maana mnajenga Ikulu miaka 10 mnashindwa kupanda hata miti mnaacha Ikulu utadhani imejengwa Sahara
 
Mwanasiasa lazima utembee kwa barabara ujue Mazingira halisi ya Wananchi

Tundu Lisu akitembea kwa Chopa tunaelewa bwashee lakini siyo Mwamba

Ukweli unabakia kuwa ukweli bwashee
 
Mji wa wapi huyo? Akili zinaonyesha ni wale limbukeni wakiingia mjini muda mfupi wanawadharau kule walikotoka
Mimi nikuwa mjini kitambo sana

Nilishakueleza wakati Mbowe anahudumu kwenye kibanda cha Efefyuu pale Biiotii mimi mimi Nilikuwa namchora tu kutokea Bwawani Kilimanjaro Hotel 😄😄😄😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…