Umewaambia kweli watu hawa. Hilo jukwaa amejengewa na wananchi wenyewe masikini i Lissu apande hapo na kuwapa elimu juu ya Katiba mpya na tume. Ujumbe wameupokea na wasaidizi wa Lissu waliona hapo pako salama. Hata kama wangeleta meza apande juu yake angepanda na kuhutubia.
Ajabu watu wanaoheshimika kama
johnthebaptist wanaingilia hoja ya kipumbavu kama hii na kuishepelea.
Wakati mwingine watu sio lazima wakupuuze kwa kutembea uchi au kujisaidia ndani ya nguo, hata kutoa hoja za kibwege kama hizi.
Hao CCM waende huko Iringa kisha ASAS atawajengea jukwaaa kwa hiari au kwa masharti na kwingineko. Chadema wao na masikini wao ili wapate ufahamu kiini cha umasikini wao