WanaCHADEMA tuwe makini juu ya usalama wa Kamanda mwenzetu Lissu. Jukwaa kama hili linaweza kuanguka na kuleta madhara

Fool and stupid. Stupid stupid...
 
Hilo genge la saccos limejaa wachumia matumbo wenye uchu wa madaraka mfano hakuna.
Ukitaka kujua wapumbavu wa CCM kauli zao, wana hasira ambazo hawana kwa ACT wazalendo wapumbavu wenzao
 
Hapana,

Ni mianzi,jukwaa Kama zizi la kufugia mbuzi!!

Hivi hawajui kwamba jamaa ni mbovu wa miguu kweli? Wanataka avunjike tena nini?
Mbona hamkusema kwa yule dikteta aliyetuma timu ya mauaji kwenye jaribio la kumuua? Au ubovu wa miguu kazaliwa nao?
Sifa kuu ya CCM ni upumbavu
 
Kuna watu wanajifanya wako makini kwenye maisha wakati wenyewe wanaliwa kavukavu bila kujihurumia.

Lissu kama aliokoka na ile mvua ya risasi itakuwa kuanguka jukwaani...?
Acheni hizo.
 
Kuna watu wanajifanya wako makini kwenye maisha wakati wenyewe wanaliwa kavukavu bila kujihurumia.

Lissu kama aliokoka na ile mvua ya risasi itakuwa kuanguka jukwaani...?
Acheni hizo.
Huu ndio upumbavu wa CCM imetengeneza kizazi cha wapumbavu
 
Siasa ni ngumu sana asee naona kama Lissu ametengwa hivi ....muda utasema
Bora wewe una akili kutambua siri za mambo yaliyo jificha hapo kuna ujumbe umetumwa ila waliotumiwa ujumbe ni mazuzu wameshindwa kungamua ...ni ujumbe wa vita chamani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli hapo tumezingua, ila tatizo ni logistics ngumu sana
Wewe jamaa akili zako ni ndogo sana kufumbua lugha za mafumbo ...yani ujajua nini kinaendelea kwenye hiyo picha kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…