Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #81
Wewe jamaa unatuchukia sanaHatari na nusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe jamaa unatuchukia sanaHatari na nusu
Pumbavu huna akiliHatari kuliko kupigwa risasi?
Fool and stupid. Stupid stupid...Hata Yesu hakuzaliwa kwenye hotel ya nyota tano japo ingewezekana. Tunaangalia ujumbe wake na sio hii Ramli chonganishi. Au unadhani Lisu yeye mwenyewe ni mjinga hawezi kujua jukwaa ambalo si imara? Kama mna uchungu na Lisu leteni picha za CCTV kuonyesha ni akina nani walimshambulia kwa risasi pale Dodoma.
Umezipimaje akili zangu? Au unatumia vipimo vyako kupima na wengine. Toast ujuha wakoPumbavu huna akili
Ambacho kinawanyima usingizi wapumbavu woote wa CCMchama cha mbowe na mkwewe
Ukitaka kujua wapumbavu wa CCM kauli zao, wana hasira ambazo hawana kwa ACT wazalendo wapumbavu wenzaoHilo genge la saccos limejaa wachumia matumbo wenye uchu wa madaraka mfano hakuna.
Sawa lakini acha ujinga kamanda mwenzanguKiingereza hakikutaki.
Mbona hamkusema kwa yule dikteta aliyetuma timu ya mauaji kwenye jaribio la kumuua? Au ubovu wa miguu kazaliwa nao?Hapana,
Ni mianzi,jukwaa Kama zizi la kufugia mbuzi!!
Hivi hawajui kwamba jamaa ni mbovu wa miguu kweli? Wanataka avunjike tena nini?
Mtu aliyenusurika risasi 16 hawezi kudhurika na jukwaa la mianzi kule Nyaruyoba bwana.😎Hii ni hatari!View attachment 2629908
Huu ndio upumbavu wa CCM imetengeneza kizazi cha wapumbavuKuna watu wanajifanya wako makini kwenye maisha wakati wenyewe wanaliwa kavukavu bila kujihurumia.
Lissu kama aliokoka na ile mvua ya risasi itakuwa kuanguka jukwaani...?
Acheni hizo.
.Hiki chama kimekuwa Cha kihuni huni sana
Habari ya kuwasilishwa na kamanda mchomvu,sijui kama ina nia njema,au tu yaweza kuwa sababu ya usingizi kwa sababu ya uchovu🤔Hii ni hatari!View attachment 2629908
Chadema amna akili hapo sibora angeutubia akiwa kwenye gari ambalo juu linafunguka .....ila kwa mimi jiniasi nimegundua hapo kuna ujumbe ambao team lissu wanautoa kwa wanachama wao dhidi ya mbowe mlamba asali...ni dalili za hali kutokuwa shwari ndani ya chadema hiiHii ni hatari!View attachment 2629908
Bora wewe una akili kutambua siri za mambo yaliyo jificha hapo kuna ujumbe umetumwa ila waliotumiwa ujumbe ni mazuzu wameshindwa kungamua ...ni ujumbe wa vita chamani[emoji23][emoji23][emoji23]Siasa ni ngumu sana asee naona kama Lissu ametengwa hivi ....muda utasema
Wewe jamaa akili zako ni ndogo sana kufumbua lugha za mafumbo ...yani ujajua nini kinaendelea kwenye hiyo picha kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kweli hapo tumezingua, ila tatizo ni logistics ngumu sana
Huyo anaye jibinua sijui kama makomredi wamemwacha na marinda