Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
-
- #41
Mbowe anavuruga mchakato wa kupambana dhidi ya CCMKwahiyo mkuu hapa Tanzania tumtegemee Mh. Mbowe tu ndo atupiganie? Kule Bungeni waliopo wabunge wengi vile hawawezi kufanya kazi ya kuwatetea wananchi?
Au unadhani Mh. Mbowe yeye hachoki kuwatetea wananchi ambao ni sawa na maiti. Wewe Kama mwananchi unatakaiwa utambue haki zako na wajibu wa serikali yako kwanza kabla ya kumtegemea mtu yeyeto kuja kusimama kwa niaba yako.
Kwa hiyo amekuvuruga?Pole jamani.Umeumia sana?Mbowe anavuruga mchakato wa kupambana dhidi ya CCM
We jamaa katoe tu mimba ya Mbowe itakunyanyasa sana.Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora.
Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini.
Mbowe amecollude na CCM na sasa amethibitisha kuwa yeye ni CCM B na hajali lakini sisi wanachama wa Chadema hatupendi alichofanya ila hatuwezi kupinga ng'o.
Binuka nikubamize.Jipige kifua kisha sema ww ni kubwa pumbavu
Ndio kitu gani?We jamaa katoe tu mimba ya Mbowe itakunyanyasa sana.
Ni kamanda asiyechoka.Huyo juha unamwita kamanda!!
Upo sahihiNi kamanda asiyechoka.
Mbowe akikaa GEREZANI, vp ww Kamanda Jina.Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora.
Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini.
Mbowe amecollude na CCM na sasa amethibitisha kuwa yeye ni CCM B na hajali lakini sisi wanachama wa Chadema hatupendi alichofanya ila hatuwezi kupinga ng'o.
Binuka nikubamize.
Mimba aliyokutundika Mbowe inakusumbua sana kama vipi ichomoeWengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora.
Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini.
Mbowe amecollude na CCM na sasa amethibitisha kuwa yeye ni CCM B na hajali lakini sisi wanachama wa Chadema hatupendi alichofanya ila hatuwezi kupinga ng'o.
Mataahira wa CCM mnaelewanaNashukuru kunielewa
NakupuuzaMimba aliyokutundika Mbowe inakusumbua sana kama vipi ichomoe
Kwani huko CCM hakuna wanaume hadi unamng'ang'ani Mbowe?
Hapana Mbowe ndio tatizo
Binuka nikubamize.Istannaaa yaa muuliju
Stupid and non senseNadhani janga liko moyoni mwako! Mbowe hajawhi kuwa janga na bado ni kiongozi mpendwa wa chama! Chadema hatuna watu kama wewe! Kama kweli wewe ni chadema unaweza kuondoka bila kuwasakama viongozi wetu wapendwa! Ninachokifahamu ni kuwa wewe ni kati ya chawa wa CCM na inawezekana umeolewa na mmoja wao!
Wewe si chadema ila ni mchochezi mmoja tu!!Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora.
Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini.
Mbowe amecollude na CCM na sasa amethibitisha kuwa yeye ni CCM B na hajali lakini sisi wanachama wa Chadema hatupendi alichofanya ila hatuwezi kupinga ng'o.
Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu, ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora.

Labda mbwa kachoka.Ni kamanda asiyechoka.
Kamanda ana bawasiri sugu.Kudaaadeekii!ππππKamanda kachoka marinda
Hulioni jina lake?Labda mbwa kachoka.