WanaCHADEMA wengi hatupendi namna Mbowe alivyolamba asali ila hatuna namna maana hatuna maamuzi

mmmmh mhhhh 😁😁😁 we sio chadema hv unawajua chadema wanavyompend mbowe ww
 
Punguza tamaa, ubinafsi na unafiki! Hii project Yako ya kumnanga mbowe na cdm ambao huhusiani nao Kwa lolote zaidi ya kuwinda teuzi za ccm hazitakusaidia lolote!
Na futa wazo lako la kudhani yale ya selasini na mapinduzi ya kiduanzi kule nccr yatahamia cdm!
Utahangaika Sana Kwa unafiki wako wa kutaka kuibomoa cdm kwani hiyo kazi ilimshinda mwenfakuzimu badala ya cdm kufa na kusambaratika akaishia yeye!
 
Non sense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…