JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Wale wa pgo bado wanaleta chokochoko⛹️Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.
View attachment 2143098
Chanzo: DarMpya
Polisi wa Tazania wanapenda fujo na vurugu.Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.
View attachment 2143098
Chanzo: DarMpya
Vitendo vya kichokozi🏃♂️Polisi wa Tazania wanapenda fujo na vurugu.
Hizo bendera zimekosa nini? Basi waufute mkutanzo mzima. Kushusha bendera halafu ukawwacha wafanye mkutano ndio umefanya nini?
|Tuna polisi wa hovyo sn aseeVideo ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.
View attachment 2143098
Chanzo: DarMpya
Bora hata ya mgambo kuliko hii polisi ya hovyoIGP sirro embu jiuzulu hii kazi imekushunda.
Wewe ndiye umepoliticize hili jeshi kupita kiasi.
Umeshindwa kabisa kuwaweka ma RPC wako katika neutral side.
Umewafanya wawe very biased politically.
Embu chukua hatua jiuzulu kazi imekushinda .
Sasa kama hapo hizo bendera kwa mujibu wa Criminal Procedures Act au sheria nyingine yoyote kama ya vyama vya siasa au any ni kosa kivipi?
Maaskari Polisi mmekuwa watu wa hovyo sana katika hii nchi kipindi hiki kuanzia wewe IGP simon sirro
Basi tu wanataka tu kukamata watuHawa polishi wa ccm wanaziogopa bendera ?
Kuna ujumbe wao kule kwa Robert Heriel leoIGP sirro embu jiuzulu hii kazi imekushinda.
Wewe ndiye umepoliticize hili jeshi kupita kiasi.
Umeshindwa kabisa kuwaweka ma RPC wako katika neutral side.
Umewafanya wawe very biased politically.
Embu chukua hatua jiuzulu kazi imekushinda .
Sasa kama hapo hizo bendera kwa mujibu wa Criminal Procedures Act au sheria nyingine yoyote kama ya vyama vya siasa au any ni kosa kivipi?
Maaskari Polisi mmekuwa watu wa hovyo sana katika hii nchi kipindi hiki kuanzia wewe IGP simon sirro
ngoja nikausome mkuuKuna ujumbe wao kule kwa Robert Heriel leo
Wapuuzi, kipindi cha mwendazake bendera zilipandishwa hadi na wafungwa, hizi zimewakosea nini? Pathetic!Basi tu wanataka tu kukamata watu
Hawana kazi ndiyo tatizoWapuuzi, kipindi cha mwendazake bendera zilipandishwa hadi na wafungwa, hizi zimewakosea nini? Pathetic!