Wanachama CHADEMA wavutana vikali na Polisi Iringa, wakataa kushusha bendera zao

Wanachama CHADEMA wavutana vikali na Polisi Iringa, wakataa kushusha bendera zao

Maajabu polisi wanafanya kazi bila kujua na kuufuata muongozo wao PGO!

Typical banana republic
 
Uko sahihi

Yaani nguvu kazi yote hiyo iko wanarukaruka tu barabarani badala ya kuchapa kazi

..huo ni ushahidi kwamba Tanzania tuna tatizo kubwa la AJIRA.

..Na tatizo hilo chanzo chake ni sera mbaya za chama tawala Ccm.
 
nimeuliza swali na wewe unaniuliza swali, kifupi unataka kuhalalisha ujinga kwa sababu fulani anafanya ujinga...

yaani unataka kuhalisha ujinga wa CCM kwa CDM kutenda ujinga huo huo..
Ulitaka ujibiwe unavyotaka wewe.Mimi nimeuliza maswali tafakirishi yapande zote.Ujinga waweza kuwa pande zote.
 
IGP sirro embu jiuzulu hii kazi imekushinda.
Wewe ndiye umepoliticize hili jeshi kupita kiasi.
Umeshindwa kabisa kuwaweka ma RPC wako katika neutral side.
Umewafanya wawe very biased politically.
Embu chukua hatua jiuzulu kazi imekushinda .
Sasa kama hapo hizo bendera kwa mujibu wa Criminal Procedures Act au sheria nyingine yoyote kama ya vyama vya siasa au any ni kosa kivipi?
Maaskari Polisi mmekuwa watu wa hovyo sana katika hii nchi kipindi hiki kuanzia wewe IGP simon sirro
IGP unashuhudia mambo ya hovyo yakifanywa na wasaidizi wako hata hukemei very Idiot IGP we have
Suala Hamza Bado tuna uhakika police walimdhurumu Mali zake
 
Back
Top Bottom