Wanachama CHADEMA wavutana vikali na Polisi Iringa, wakataa kushusha bendera zao

Wanachama CHADEMA wavutana vikali na Polisi Iringa, wakataa kushusha bendera zao

Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.

View attachment 2143098

Chanzo: DarMpya
MaCCM yalikosea sana kumpiga LISSU risasi na kumfunga Mzee Mbowe. Mmetutia hari mpya hatuogopi Jela wala ”risasi tatu” za Samia
Wakubali tu zama zimebadilika.
Katiba mpya ni lazima.
 
Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.

View attachment 2143098

Chanzo: DarMpya
Na hapo mkuu wa mkoa ni wa chama cha upinzani. Hii ni nafasi ya serikali kuweka wazi kuwa siasa za kibabe hazitakiwi na polisi wapewe onyo kali kuhusu kuingilia shughuli halali za chama chochote cha kisiasa.

Amandla...
 
Hapa tusimlaumu SSH. Kuna mbegu imepandwa miongoni mwa watendaji wa vyombo vya usalama na wenyeviti wa vyombo vya usalama kwamba ukikandamiza upinzani we ndo unamfurahisha mteuzi.
 
Polisi wakumbushwe hii awamu ya Mama ,ubabe wa awamu ya jiwe is no more na haukabaliki.
 
Policcm bwana wanapenda kiki kwa matukio madogomadogo
 
IGP sirro embu jiuzulu hii kazi imekushinda.
Wewe ndiye umepoliticize hili jeshi kupita kiasi.
Umeshindwa kabisa kuwaweka ma RPC wako katika neutral side.
Umewafanya wawe very biased politically.
Embu chukua hatua jiuzulu kazi imekushinda .
Sasa kama hapo hizo bendera kwa mujibu wa Criminal Procedures Act au sheria nyingine yoyote kama ya vyama vya siasa au any ni kosa kivipi?
Maaskari Polisi mmekuwa watu wa hovyo sana katika hii nchi kipindi hiki kuanzia wewe IGP simon sirro
IGP unashuhudia mambo ya hovyo yakifanywa na wasaidizi wako hata hukemei very Idiot IGP we have
Mwenye makosa zaidi ni mamlaka ya uteuzi.
Kwa mambo yanayo fanyika ndani ya jeshi la polisi, Siro hakuwa ana stahili hadi leo awepo kama IGP.
Yaani this is more than too much.
Leo nimewasikia clouds media wakimhoji Kingai maaskari wamemsababishia kijana ulemavu, Kingai anaongea utumbo tuu yaani Shame!!? Shame!!? /
 
MaCCM yalikosea sana kumpiga LISSU risasi na kumfunga Mzee Mbowe. Mmetutia hari mpya hatuogopi Jela wala ”risasi tatu” za Samia
Wakubali tu zama zimebadilika.
Katiba mpya ni lazima.
katiba mpya haina mbadala mpaka sasa
 
Polisi wa Tazania wanapenda fujo na vurugu.

Hizo bendera zimekosa nini? Basi waufute mkutanzo mzima. Kushusha bendera halafu ukawwacha wafanye mkutano ndio umefanya nini?
Ni ukosefu wa maadili.
Usajili wa chama si unaendana na bendera.Kama hizo Bendera wamekwenda kufunga kwenye ofisi za chama kingine hapo sawa wakamatwe.
 
samahani, hawa watu wanafanya kazi saa ngapi.. kama umati wote huo muda wote unakuwa kwenye siasa ni lini tutajenga nchi na kuleta maendeleo kwa wote..

tujaribu kufikiri kwa mawazo huru na siasa tuweke pembeni..
 
Ambao huwa wanakwenda kupokea kila ndege ikitua huwa wanafanyakazi saa ngapi?
Wanaokuwa viwanja vya ndege kila anapopaa na kutua kiongozi huwa wanafanya kazi saa ngapi.
Bora hawa wa Leo hata hawalipwi Perdiem.
 
Chadema mtaacha lini kuwabrainwash wananchi badala yake mlete agenda zenye mantiki.....horrible and a failed opposition party.
 
Back
Top Bottom