Wanachama CHADEMA wavutana vikali na Polisi Iringa, wakataa kushusha bendera zao

Umati wa chadema tu ndo unaouona hawafanyi kazi ila wale wengine wanaokusanyika kila mara wao hujiulizi kazi wanafanya saa ngapi.punguza wivu.

mtazamo wangu umeuchukua kisiasa baada ya kujibu kwa hoja..

Kumbe tukiwapa dola na nyie mtaiba na tukiwauliza mtasema mboa wale waliokuwa madarakani CCM waliiba...
 
nimeuliza swali na wewe unaniuliza swali, kifupi unataka kuhalalisha ujinga kwa sababu fulani anafanya ujinga...

yaani unataka kuhalisha ujinga wa CCM kwa CDM kutenda ujinga huo huo..
Kinachozungumzwa ni haki. CCM wana haki ya kupeperusha bendera, na CHADEMA hali kadhalika.
 
samahani, hawa watu wanafanya kazi saa ngapi.. kama umati wote huo muda wote unakuwa kwenye siasa ni lini tutajenga nchi na kuleta maendeleo kwa wote..

tujaribu kufikiri kwa mawazo huru na siasa tuweke pembeni..
Hawa wanafanya kazi saa ngapi?
20220220_143213.jpg
 
Hawa police nadhani wanashida kubwa sana ya uelewa, bendera shida ni nini? wamevunja sheria? kuna mambo mengine tukiweka uchama pembeni ni mambo ya kijinga kabisa na kujishusha heshima. Kwanini? Kweli kuna police yoyote ana uthubutu wa kushusha bendera ya CCM? Mimi Chadema siwakubali kwa sababu siwaelewi wanasimamimia nini naona ni movement tu ya wanaharakati sijui wanasimamia nini lakini kwenye hili wanahaki kufanya kama chama sababu wana watu wana wa support nakuwaamini. acheni siasa za kijinga police mnajitia aibu bwana.
 
kwakweli ukitafakari mpaka unashangaa makundi mbali mbali yanafanya sherehe kila watu kwa namna yao. Lakini wakifanya Chadema ni kosa.
 
Kuna wale mashia wakianza sherehe zao pale mjini wiki nzima wanajaza bendera zao utasema tuko Iran lakini kimyaa. Kama kuna sheria zinakataza bendera sawa lakini sio mtu kuamua tu, Maana watakataza mpaka team za mipira kuweka bendera.
 
Haya mapolisi ya nchi hii ni ya ajabu sana hayataki kujifunza yakiona bendera za Chadema miili inawatetema kama yule mkongo wa Yanga.
 
Kuna wale mashia wakianza sherehe zao pale mjini wiki nzima wanajaza bendera zao utasema tuko Iran lakini kimyaa. Kama kuna sheria zinakataza bendera sawa lakini sio mtu kuamua tu, Maana watakataza mpaka team za mipira kuweka bendera.
Haki Haki Haki
 
Back
Top Bottom