Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.
View attachment 2143098
Chanzo: DarMpya
Polisi wa Tazania wanapenda fujo na vurugu.
Hizo bendera zimekosa nini? Basi waufute mkutanzo mzima. Kushusha bendera halafu ukawwacha wafanye mkutano ndio umefanya nini?
Walioko Zanzibar wamefanya kazi SAA ngapi? Mbona unajipa uzuzu Kwa gharama ndogo?samahani, hawa watu wanafanya kazi saa ngapi.. kama umati wote huo muda wote unakuwa kwenye siasa ni lini tutajenga nchi na kuleta maendeleo kwa wote..
tujaribu kufikiri kwa mawazo huru na siasa tuweke pembeni..
Uko sahihisamahani, hawa watu wanafanya kazi saa ngapi.. kama umati wote huo muda wote unakuwa kwenye siasa ni lini tutajenga nchi na kuleta maendeleo kwa wote..
tujaribu kufikiri kwa mawazo huru na siasa tuweke pembeni..
Uko sahihi
Yaani nguvu kazi yote hiyo iko anarukaruka tu barabarani badala ya kuchapa kazi
Siasa ndo kazi yao kama wewe ulivyo na yako. Kumbuka kuwa kuna watu wengine wanapenda disco. Wengine mpira. Wengine muziki wengine porojo za kahawani na TBC, yada yaada yaadasamahani, hawa watu wanafanya kazi saa ngapi.. kama umati wote huo muda wote unakuwa kwenye siasa ni lini tutajenga nchi na kuleta maendeleo kwa wote..
tujaribu kufikiri kwa mawazo huru na siasa tuweke pembeni..
Leo ni siku ya wanawake duniani na hao kinamama waliandaa huo mkutano wao wajadili mambo yao sasa wewe unataka agenda gani tena.Tumia hicho kichwa vizuri.Chadema mtaacha lini kuwabrainwash wananchi badala yake mlete agenda zenye mantiki.....horrible and a failed opposition party.
Umati wa chadema tu ndo unaouona hawafanyi kazi ila wale wengine wanaokusanyika kila mara wao hujiulizi kazi wanafanya saa ngapi.punguza wivu.samahani, hawa watu wanafanya kazi saa ngapi.. kama umati wote huo muda wote unakuwa kwenye siasa ni lini tutajenga nchi na kuleta maendeleo kwa wote..
tujaribu kufikiri kwa mawazo huru na siasa tuweke pembeni..
Hawa polishi wa ccm wanaziogopa bendera ?
Hivi huyu Sirro anaogopa maisha baada ya kustaafu? Mbona anazidi kuwa bogus sana kwa kuendekeza mambo ya kipuuzi puuzi, Mama hebu piga chini huyu mzee akale kichuri kwao huko!
Hawana tofauti na wewe unalipwa elfu 7000 kwa kazi ya kupiga zumari Lumumba.Uko sahihi
Yaani nguvu kazi yote hiyo iko anarukaruka tu barabarani badala ya kuchapa kazi
Kwani wale ni mama zako?sikuu ya wanawake duniani inahusikaje na bendera za vyama?
Ofcourse Chadema ndio tegemea la wananchi kwa Sasa.Hapa ndipo CDM wanapokesea. Mipango. Timing. Agenda. Determination. Focus
Walihitaji muda mwingi zaidi wa kutulia na kujipanga kuja kivingine.
Mbowe alidai hatosema... Kwake aliongea. Kanisani aliongea. Na leo kwa Bawacha ataongea.
Najua ni msemaji mzuri lakini Sasa sijui baada ya yote haya atakuja kuongea nini.
CDM mjipange vizuri. Watanzania wanawategemea sana.
Ambao huwa wanakwenda kupokea kila ndege ikitua huwa wanafanyakazi saa ngapi?
Wanaokuwa viwanja vya ndege kila anapopaa na kutua kiongozi huwa wanafanya kazi saa ngapi.
Bora hawa wa Leo hata hawalipwi Perdiem.