Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kipigo cha hatariKumbukeni mfalme Zumaridi. Kumbe alipata surra mpya kama mlivyomuona mahakamani. Ni tofauti na ile ya kanisani. Shauri zenu!
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
MaCCM yalikosea sana kumpiga LISSU risasi na kumfunga Mzee Mbowe. Mmetutia hari mpya hatuogopi Jela wala ”risasi tatu” za SamiaVideo ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.
View attachment 2143098
Chanzo: DarMpya
Pamoja na jitihada zote anazofanya Mh Rais kutuunganisha watanzanua bado Polisi wanamdharauPolisi mbona wanajihaibisha sana
Tatizo polisi wamejaza form IV failuresVideo ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.
View attachment 2143098
Chanzo: DarMpya
Na hapo mkuu wa mkoa ni wa chama cha upinzani. Hii ni nafasi ya serikali kuweka wazi kuwa siasa za kibabe hazitakiwi na polisi wapewe onyo kali kuhusu kuingilia shughuli halali za chama chochote cha kisiasa.Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.
View attachment 2143098
Chanzo: DarMpya
Mwenye makosa zaidi ni mamlaka ya uteuzi.IGP sirro embu jiuzulu hii kazi imekushinda.
Wewe ndiye umepoliticize hili jeshi kupita kiasi.
Umeshindwa kabisa kuwaweka ma RPC wako katika neutral side.
Umewafanya wawe very biased politically.
Embu chukua hatua jiuzulu kazi imekushinda .
Sasa kama hapo hizo bendera kwa mujibu wa Criminal Procedures Act au sheria nyingine yoyote kama ya vyama vya siasa au any ni kosa kivipi?
Maaskari Polisi mmekuwa watu wa hovyo sana katika hii nchi kipindi hiki kuanzia wewe IGP simon sirro
IGP unashuhudia mambo ya hovyo yakifanywa na wasaidizi wako hata hukemei very Idiot IGP we have
Polisi hawajawai kua wa maana sababu hawatumii akili!|Tuna polisi wa hovyo sn asee
Watakaovuruga amani ya nchi hii ni hawa mapolisi wetu wasiojua hata PGO yao, ambao ndiyo mwongozo mkuu wa Kazi zao za kila siku🙄Vitendo vya kichokozi🏃♂️
katiba mpya haina mbadala mpaka sasaMaCCM yalikosea sana kumpiga LISSU risasi na kumfunga Mzee Mbowe. Mmetutia hari mpya hatuogopi Jela wala ”risasi tatu” za Samia
Wakubali tu zama zimebadilika.
Katiba mpya ni lazima.
Ni ukosefu wa maadili.Polisi wa Tazania wanapenda fujo na vurugu.
Hizo bendera zimekosa nini? Basi waufute mkutanzo mzima. Kushusha bendera halafu ukawwacha wafanye mkutano ndio umefanya nini?
Ambao huwa wanakwenda kupokea kila ndege ikitua huwa wanafanyakazi saa ngapi?samahani, hawa watu wanafanya kazi saa ngapi.. kama umati wote huo muda wote unakuwa kwenye siasa ni lini tutajenga nchi na kuleta maendeleo kwa wote..
tujaribu kufikiri kwa mawazo huru na siasa tuweke pembeni..