Umati wa chadema tu ndo unaouona hawafanyi kazi ila wale wengine wanaokusanyika kila mara wao hujiulizi kazi wanafanya saa ngapi.punguza wivu.
Alluta Continua. No retreat; No fear. Pipooooz!Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.
View attachment 2143098
Chanzo: DarMpya
Huo ndiyo ukweliPolisi hawajawai kua wa maana sababu hawatumii akili!
Ni ukorofi wa kijinga snPolisi wa Tazania wanapenda fujo na vurugu.
Hizo bendera zimekosa nini? Basi waufute mkutanzo mzima. Kushusha bendera halafu ukawwacha wafanye mkutano ndio umefanya nini?
Kinachozungumzwa ni haki. CCM wana haki ya kupeperusha bendera, na CHADEMA hali kadhalika.nimeuliza swali na wewe unaniuliza swali, kifupi unataka kuhalalisha ujinga kwa sababu fulani anafanya ujinga...
yaani unataka kuhalisha ujinga wa CCM kwa CDM kutenda ujinga huo huo..
Hawa wanafanya kazi saa ngapi?samahani, hawa watu wanafanya kazi saa ngapi.. kama umati wote huo muda wote unakuwa kwenye siasa ni lini tutajenga nchi na kuleta maendeleo kwa wote..
tujaribu kufikiri kwa mawazo huru na siasa tuweke pembeni..
Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.
View attachment 2143098
Chanzo: DarMpya
SahihiKinachozungumzwa ni haki. CCM wana haki ya kupeperusha bendera, na CHADEMA hali kadhalika.
Huyo atakuwa kama makonda subiri astaafuHawa polishi wa ccm wanaziogopa bendera ?
Hivi huyu Sirro anaogopa maisha baada ya kustaafu? Mbona anazidi kuwa bogus sana kwa kuendekeza mambo ya kipuuzi puuzi, Mama hebu piga chini huyu mzee akale kichuri kwao huko!
Hata mama alisema hiyo siku ile alipokutana na Mbowe. Kuaminiana katika hakiHAKI
kwakweli ukitafakari mpaka unashangaa makundi mbali mbali yanafanya sherehe kila watu kwa namna yao. Lakini wakifanya Chadema ni kosa.Hawa police nadhani wanashida kubwa sana ya uelewa, bendera shida ni nini? wamevunja sheria? kuna mambo mengine tukiweka uchama pembeni ni mambo ya kijinga kabisa na kujishusha heshima. Kwanini? Kweli kuna police yoyote ana uthubutu wa kushusha bendera ya CCM? Mimi Chadema siwakubali kwa sababu siwaelewi wanasimamimia nini naona ni movement tu ya wanaharakati sijui wanasimamia nini lakini kwenye hili wanahaki kufanya kama chama sababu wana watu wana wa support nakuwaamini. acheni siasa za kijinga police mnajitia aibu bwana.
Kuna wale mashia wakianza sherehe zao pale mjini wiki nzima wanajaza bendera zao utasema tuko Iran lakini kimyaa. Kama kuna sheria zinakataza bendera sawa lakini sio mtu kuamua tu, Maana watakataza mpaka team za mipira kuweka bendera.kwakweli ukitafakari mpaka unashangaa makundi mbali mbali yanafanya sherehe kila watu kwa namna yao. Lakini wakifanya Chadema ni kosa.
Haki Haki HakiKuna wale mashia wakianza sherehe zao pale mjini wiki nzima wanajaza bendera zao utasema tuko Iran lakini kimyaa. Kama kuna sheria zinakataza bendera sawa lakini sio mtu kuamua tu, Maana watakataza mpaka team za mipira kuweka bendera.
Atleast umri wa Makonda size yangu, atastahimili na magonjwa ya moyo, ila huyu Mzee kwa damu alizoruhusu kumwaga akiwa na umri huo, stroke haitamuacha salama.!Huyo atakuwa kama makonda subiri astaafu
Acha kumwombea mabaya🤣🤣Atleast umri wa Makonda size yangu, atastahimili na magonjwa ya moyo, ila huyu Mzee kwa damu alizoruhusu kumwaga akiwa na umri huo, stroke haitamuacha salama.!