Wanachama CHADEMA wavutana vikali na Polisi Iringa, wakataa kushusha bendera zao

Maajabu polisi wanafanya kazi bila kujua na kuufuata muongozo wao PGO!

Typical banana republic
 
Uko sahihi

Yaani nguvu kazi yote hiyo iko wanarukaruka tu barabarani badala ya kuchapa kazi

..huo ni ushahidi kwamba Tanzania tuna tatizo kubwa la AJIRA.

..Na tatizo hilo chanzo chake ni sera mbaya za chama tawala Ccm.
 
nimeuliza swali na wewe unaniuliza swali, kifupi unataka kuhalalisha ujinga kwa sababu fulani anafanya ujinga...

yaani unataka kuhalisha ujinga wa CCM kwa CDM kutenda ujinga huo huo..
Ulitaka ujibiwe unavyotaka wewe.Mimi nimeuliza maswali tafakirishi yapande zote.Ujinga waweza kuwa pande zote.
 
Polisi wana tafuta uteuzi usikute.
 
Suala Hamza Bado tuna uhakika police walimdhurumu Mali zake
 
Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.

View attachment 2143098

Chanzo: DarMpya
Hii nadhani imemfikia mkubwa wake wa kazi, kamanda alitaka kuleta vurugu na kuhatarisha amani bila sababu yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…