Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Oppressor Ni nani Sasa katika mgogoro huu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nchi hatufungamani na upande wowote, ila wananchi mmojammoja wana maoni yao
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabadilishe viongozi wa Russia na Ukraine mioyo yao watafute Suluhu nje ya vita
Marekani huwa anashawishi kwanzaMbona marekani anapoanzisha matimbwili yake huwa hawapigi Kura..?
Sisi tupo neutral hatutaki kuegamia sehemu moja wasituchoshe.
Hiyo kura amepiga nani? Ingekuwa enzi za ujamaa tungesimama na Russia
Kutofungamana na upande wowote hakuna maana ya kuwa upande mmoja na fedhuli:
View attachment 2137101
Hayo si maneno yangu bi dada.
Ndio uko sahihi. Labda wanaogopa kupoteza maslahi fulani.TZ mnasema woga/wasaliti wakati nchi kubwa kama China haikupiga kura. Kwa mtazamo wangu (based na nchi zote 35 absent) ni wazi waliokuwa hawakupiga kura hawakutaka kuonesha wazi msimamo wao, lakini iko wazi wameunga mkono Russia kimya kimya.
Vita ya Mmarekani kivipi wakati anayepigwa ni m_Ukraine?Binafsi Mmarekani asingekua nyuma ya Ukraine ningesimama na Ukraine. Siwezi side na Ukraine wakati najua vita ni ya mmarekani.
Mungu mbariki mChina japo ana maudhi yake amejua kumkwamisha mmarekani kwenye mambo mengi ya uonevu
Binafsi Mmarekani asingekua nyuma ya Ukraine ningesimama na Ukraine. Siwezi side na Ukraine wakati najua vita ni ya mmarekani.
Mungu mbariki mChina japo ana maudhi yake amejua kumkwamisha mmarekani kwenye mambo mengi ya uonevu
tz tuko pamoja na Russia,ndo ukweli!!Tanzania nchi kubwa kuliko Elitrea , wanatushinda kuwa na msimamo.
Hata jiwe alikuwa kiongozi Bora ila akajenga mpasuko ndani kwa ndani hapo ndo alipokosea
Ningekuwa na hela ningekuoa malaikaKama nchi hatufungamani na upande wowote, ila wananchi mmojammoja wana maoni yao
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu wabadilishe viongozi wa Russia na Ukraine mioyo yao watafute Suluhu nje ya vita
Tanzania ni Nchi Huru yenye amani na utulivu. Kukaa kimya ni Busara.Kumepigwa kura UN kuhusiana na nani ni nani kwenye uvamizi wa Ukraine.
Upande wa Russia kuna North Korea, Syria, Belarus na Eritrea.
View attachment 2137041
Kwa mujibu wa Tutu na bwana Martin Luther yumkini na sisi tumewakilisha:
View attachment 2137034
View attachment 2137035
Source: NPR Cookie Consent and Choices
Madikteta wote wako hivyo.Hata jiwe alikuwa kiongozi Bora ila akajenga mpasuko ndani kwa ndani hapo ndo alipokosea