Wanachama UN wapiga kura mzozo wa Urusi - Ukraine

Wanachama UN wapiga kura mzozo wa Urusi - Ukraine

Enzi ya Nyerere ilikuwa ya ujamaa. Tusingesimama na Russia.

Usichanganye enzi ya ujamaa na enzi zenu matajiri mkikutana:

View attachment 2137089
Hiiiiii bagosha!
hayo mawuwa na bendela huoni kama tumo kabulini ,yaani ni msiba tu ,ccm nuksi,iangalie io picha kisha vuta utaona kabisa nchi inazikwa aka inaibwa nani mwizi kama sio maCCM
 
Tanzania ni Nchi Huru yenye amani na utulivu. Kukaa kimya ni Busara.
Kama mtu haujui watu wazima wanagombania nini huna sababu ya kumuona yeyote mbaya

Kuna kufa wanawake na watoto wasio na hatia. Hatujui wanagombania nini?

No wonder:

IMG_20220303_102530_977.jpg

Hatuna mbele wala nyuma.

Hii ndiyo Tanzania ya leo, ikiheshimiwa enzi zake. Ikiongoza kwenye ukombozi na vita vyake dhidi ya dhuluma duniani.
 
Sisi hatufungamani na upande wowote...
 
Chuki binafsi hizo hata ukiishi nazo si sawa tu?

Hizi si ndiyo mnazobatiza nazo wengine magaidi?

Hizo matajiri ishini nazo tu.

Uhuru wa maoni kadri ya uelewa wa mtu ni kitu cha kuheshimika sana
Usitake nifanane na wewe kwenye misimamo sababu hata sura hatufanani😂😂
 
Uhuru wa maoni kadri ya uelewa wa mtu ni kitu cha kuheshimika sana
Usitake nifanane na wewe kwenye misimamo sababu hata sura hatufanani😂😂

Tangu lini nikataka mburumundu kufanana na mimi, sura hata mawazo 😂😂?

Hiiiiii bagosha!
 
Kuna kufa wanawake na watoto wasio na hatia. Hatujui wanagombania nini?

No wonder:

View attachment 2137131

Hatuna mbele wala nyuma.

Hii ndiyo Tanzania ya leo, ikiheshimiwa enzi zake. Ikiongoza kwenye ukombozi na vita vyake dhidi ya dhuluma duniani.
Ni kweli kuna mauaji ya binadamu wasio na hatia, lakini kura haijasema kuhusu mauaji, imesema kuhusu uvamizi,
Ingesem kuhusu mauaji hata sisi tungepinga vikali mauaji yanayoendelea. Lakini suala la uvamizi sisi hatupaswi kuingilia.
 
Basi ngoja tukenue kwanza:

IMG_20220302_115525_094.jpg
 
hizo nchi 35 zipo upande wa Russia sema tuu wameamua kutumia mbinu ya kiutu uzima kidogo
 
... bora hata tumekuwa absent japo impliedly ndio hivyo tena we have chosen a side! Halafu kuna yale marusi ya Kwa Mtogole yamejazana humu jf yanashabikia umwagaji damu unaofanywa na facist Putin bila sababu yoyote ya msingi wakati almost dunia nzima iko against! Shame to you ALL!
 
... bora hata tumekuwa absent! Halafu kuna yale marusi ya Kwa Mtogole yamejazana humu jf yanashabikia umwagaji damu unaofanywa na facist Putin bila sababu yoyote ya msingi! Shame to you ALL!

Hasa lililokenua zaidi pale:

IMG_20220302_122620_294.jpg
 
Back
Top Bottom