Wanachama UN wapiga kura mzozo wa Urusi - Ukraine

Kama nchi hatufungamani na upande wowote, ila wananchi mmojammoja wana maoni yao

Mungu Ibariki Tanzania

Mungu wabadilishe viongozi wa Russia na Ukraine mioyo yao watafute Suluhu nje ya vita

Kutofungamana na upande wowote hakuna maana ya kuwa upande mmoja na fedhuli:

Hayo si maneno yangu bi dada.
 
Hiyo kura amepiga nani? Ingekuwa enzi za ujamaa tungesimama na Russia

Binafsi Mmarekani asingekua nyuma ya Ukraine ningesimama na Ukraine

Mungu mbariki mChina japo ana maudhi yake amajua kumkwamisha mmarekani kwenye mambo mengi ya uonevu
 
Kutofungamana na upande wowote hakuna maana ya kuwa upande mmoja na fedhuli:

View attachment 2137101

Hayo si maneno yangu bi dada.

Binafsi Mmarekani asingekua nyuma ya Ukraine ningesimama na Ukraine. Siwezi side na Ukraine wakati najua vita ni ya mmarekani.

Mungu mbariki mChina japo ana maudhi yake amejua kumkwamisha mmarekani kwenye mambo mengi ya uonevu
 
TZ mnasema woga/wasaliti wakati nchi kubwa kama China haikupiga kura. Kwa mtazamo wangu (based na nchi zote 35 absent) ni wazi waliokuwa hawakupiga kura hawakutaka kuonesha wazi msimamo wao, lakini iko wazi wameunga mkono Russia kimya kimya.
Ndio uko sahihi. Labda wanaogopa kupoteza maslahi fulani.
 
Binafsi Mmarekani asingekua nyuma ya Ukraine ningesimama na Ukraine. Siwezi side na Ukraine wakati najua vita ni ya mmarekani.

Mungu mbariki mChina japo ana maudhi yake amejua kumkwamisha mmarekani kwenye mambo mengi ya uonevu
Vita ya Mmarekani kivipi wakati anayepigwa ni m_Ukraine?
 
Binafsi Mmarekani asingekua nyuma ya Ukraine ningesimama na Ukraine. Siwezi side na Ukraine wakati najua vita ni ya mmarekani.

Mungu mbariki mChina japo ana maudhi yake amejua kumkwamisha mmarekani kwenye mambo mengi ya uonevu

Chuki binafsi hizo hata ukiishi nazo si sawa tu?

Hizi si ndiyo mnazobatiza nazo wengine magaidi?

Hizo matajiri ishini nazo tu.
 
Safi sana kwa kudumisha falsafa ya non alignment movement...Kuipinga Urusi moja kwa moja ni unafiki kwani mataifa mengine yameshavamiwa au yanaweza kuvamiwa na Marekani kutokana na maamuzi ya ndani.
 
Kama nchi hatufungamani na upande wowote, ila wananchi mmojammoja wana maoni yao

Mungu Ibariki Tanzania

Mungu wabadilishe viongozi wa Russia na Ukraine mioyo yao watafute Suluhu nje ya vita
Ningekuwa na hela ningekuoa malaika
 
Tanzania ni Nchi Huru yenye amani na utulivu. Kukaa kimya ni Busara.
Kama mtu haujui watu wazima wanagombania nini huna sababu ya kumuona yeyote mbaya
 
Hata jiwe alikuwa kiongozi Bora ila akajenga mpasuko ndani kwa ndani hapo ndo alipokosea
Madikteta wote wako hivyo.

Nani hakujenga mpasuko?

Ni quarter pin, PK, Mugabe, Mnangagwa, All Bashiri, Saddam, Kim au yupi?

Wapi wangependa dikteta?

Nakazia:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…