Sheria za kimataifa na za kiasili zipo wazi. Mrusi kamvamia Ukraine ilihali Ukraine hajafanya chochote dhidi ya mamlaka ya Urusi.
Sababu za kusema Ukraine kutaka kujiunga na NATO kunahatarisha usalama wa Urusi, ni falsafa duni na ya kufikirika. Ukraine, kama nchi ina mamlaka ya kujiunga na jumuia yoyote alimradi havunji sheria za kimataifa.
Urusi imajaza makombora ya nuklia, je nchi nyingine zinazopakana na Urusi hazipo kwenye hatari kutokana na Urusi kumiliki makombora hayo? Je, mataifa hayo yana haki ya kuua raia wa Urusi?
Urusi inaendesha primitive politics ambazo hazikubaliki na mtu yeyote mstaarabu, mwenye hekima na akili timamu.