atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kwahiyo hiyo kwa upande wako unaona Ukraine anaonewa?Miye niko upande wa haki siku zote dadaangu.
Ukilianzisha hata wewe au Kingai kibwegebwege lazima kukulaani tu.
Ninamlaani Mrusi kama nilivyomlaani Mmarekani Iraq, Afghanistan au Libya.
View attachment 2137069
NAM kama hivi?Vita vyao sisi hatufungamani na upande wowote ule. Non Alignment Movement (NAM) asili yetu toka zamani
Kwahiyo hiyo kwa upande wako unaona Ukraine anaonewa?
Hahahaha sawa nawaona
Hao waarabu ndio wanafurahia hii vita a kumjaza urusi ujinga wakati urusi inayumba kiuchumi sio kdgo
Nadhan ww ni mmojawapo ambae hajui chanzo cha huo mgogoro so is better to coolSheria za kimataifa na za kiasili zipo wazi. Mrusi kamvamia Ukraine ilihali Ukraine hajafanya chochote dhidi ya mamlaka ya Urusi.
Sababu za kusema Ukraine kutaka kujiunga na NATO kunahatarisha usalama wa Urusi, ni falsafa duni na ya kufikirika. Ukraine, kama nchi ina mamlaka ya kujiunga na jumuia yoyote alimradi havunji sheria za kimataifa.
Urusi imajaza makombora ya nuklia, je nchi nyingine zinazopakana na Urusi hazipo kwenye hatari kutokana na Urusi kumiliki makombora hayo? Je, mataifa hayo yana haki ya kuua raia wa Urusi?
Urusi inaendesha primitive politics ambazo hazikubaliki na mtu yeyote mstaarabu, mwenye hekima na akili timamu.
Mm ni huyo nataka nibonyeze kitu hapo
Mm ni huyo nataka nibonyeze kitu hapo
Umeelewa sasaMzee kwa maelezo haya wewe umezaliwa miaka ya 1990s wewe bado kinda.
Hao waarabu ndio wanafurahia hii vita a kumjaza urusi ujinga wakati urusi inayumba kiuchumi sio kdgo
Tanzania imechagua njia yake kwa manufaa na maslahi yake wewe unatakaje..?Tangu lini mwarabu akawa mmatumbi?
Umatumbi wetu sifa. Tabu hizi kenua kenua zenu tu.
Kwa hakika kwa mwendo huu kila mtu na achukue njia yake!
Vimeogopa au vimekataa kuwa bendera fuata upepo?
Kweli kabisa,huu Ni Upuuzi,lazima utoe msimamo wako Kama taifaLazima uwe na msimamo ili ueshimike, sio unayumbayumba mwoga haueleweki, sema kimoja ueleweke, unakataa au unakubali.
Nimefurahi baada ya kuona umechukizwa alicho kifanya Russia pia na marekani ,wote wamefanya ushenzi wa aina mojaMiye niko upande wa haki siku zote dadaangu.
Ukilianzisha hata wewe au Kingai kibwegebwege lazima kukulaani tu.
Ninamlaani Mrusi kama nilivyomlaani Mmarekani Iraq, Afghanistan au Libya.
View attachment 2137069
Nimefurahi baada ya kuona umechukizwa alicho kifanya Russia pia na marekani ,wote wamefanya ushenzi wa aina moja
Tanzania imechagua njia yake kwa manufaa na maslahi yake wewe unatakaje..?
Wapige kura na vita ya palestine, Afghanistan, Iraq na Iran.
Thubutuu,,haitatokea mzungu afanye hivyo. Mfano mmoja, Palestina kila leo wanauliwa wasiyo na hatia lakini wamenyamaza kimya kama hawajui kinachoendelea.