Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Kura?
Post #13 inakuhusu mjomba.
Hiiiiii bagosha!
ndio maana nikakuuliza wewe unatakaje..? Kwa maana lolote utakalo taka wewe wala dunia haitajua kwa maana unaongelea uvunguni unajisikia mwenyewe.Tanzania ni kubwa mjomba. Humo kuna mburumundu na wengine na wengine pia.
Kuwa japo na staha ya kutofautisha Tanzania, Mburumundu na hao wengine basi?
Kura yangu inaenda kwa PUTTIN, lakini siungi mkono mauwaji, japo cna uhakika wa mauwaji hayo maana wamagharibi tushawazoea kwa propaganda zao.
Kura yangu iende[emoji635] vita haina macho acha auwe tu kama ndiyo njia ya kupata suruhu
Marekani na washirika wake washauwa mamilioni ya watu mashariki ya kati;
Achiliambali nyuklia alizotumia kushambulia hiroshima na nagasaki;
Kura yangu inaenda kwa PUTTIN, lakini siungi mkono mauwaji, japo cna uhakika wa mauwaji hayo maana wamagharibi tushawazoea kwa propaganda zao.
Tupo tupo, wizara ya mambo ya nje wala hata haijajisumbua kidogo kutueleza kwa nini hatujalaani uvamizi wa Urusi!Ni upuuzi mkubwa kwa Tanzania kushindwa kupiga kura kwa jambo lililo wazi ka hili. Ni aibu kubwa!!
Tanzania ya Mwalimu, haikuwahi kuwa na kigugumizi katika suala lolote linalohusu haki. Tulikemea kwa haki kuvunjwa, na tukapiga kura dhidi ya Israel pale Israel ilipowaua raia wakati wanawashambulia wapiganaji wa kipalestina, licha ya kwamba israel ilikuwa imetufanyia mambo mengi: kutujengea UDSM, mafunzo ya JKT, mafunzo ya makamanda wetu, na hata miradi ya kilimo.
Tusifikiri tupo salama sana kwa kujifanya popo. Tutasuswa na wote.
Jifunze kujadili mambo katika uelewa unaoeleweka halafu ujifunze kufananisha na kulinganisha vitu vinavyofanana. Habari zako za kumlinganisha kobe na chui kwenye mbio zinaboa
Kwa kukusaidia zaidi zijue sababu za America kumsupport Ukraine uzijue na zile zinampelekea kumsupport Israel ili ujenge hoja kwa kutazama hali halisi na sio taifa kama taifa
Acha porojo na unafiki, Jibu swali, kitu gani kinakufanya ukenue meno kwa furaha Marekani anapoisapoti Israel na unune Marekani akiisapoti Ukraine?
ndio maana nikakuuliza wewe unatakaje..? Kwa maana lolote utakalo taka wewe wala dunia haitajua kwa maana unaongelea uvunguni unajisikia mwenyewe.
Vamizi alofanya Putin Ukraine linafanana na vamizi alofanya Nyerere Zanzibar kwa hiyo serikali ya CCM haiwezi kulaani. Putin amefanya vamizi Ukraine ili aweke serikali kibaraka, Nyerere naye aliweka serikali kibaraka Zanzibar.