Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

hahahaaa!!! no no no no !!! napenda tu mwenyewe kubadili avatar mkuu!

basi tu kuna njemba tulibadilishana mawazo kwa pm naona ndio ikasambaza detail kwa ntu nyingine..

kwema lakini?
Mambo ni safi mkuu...nisalimie shemeji yangu Beautiful Onyinye.
 
Ah.. mi sina anaenijua ila nna ID mbili.. nikifa ntatumia ile ID nyingine kuwajulisha. ;-)
 
Watu wa 3 nimefahamiana nao JF na tumekuwa washiaji kweikweli so ikitoke ammoja akatamgulia nadhani itakuwa rahisi
 

Hbr wanaJF! Ndugu yangu umenigusa sana, na hii inaonesha kw una uwezo mkubwa wa kufikiri! Asante! RIP all brothers and sisters!
 
Last edited by a moderator:
Habarini, nauliza ikiwa imetokea kwa mfano mtu amekufa na ni mwanachama mwenzetu wa Jf habari za kifo chake zitafikaje maana humu sio wote wanaojuana. Kuna wengine ID zao ni kubwa tu humu ndani ila hawajawahi kukutana na mwana Jf.. Mwisho nawaulizia hawa watu mbona siku nyingi sijawaona
Miss chaga
Watu8
Na wengineo wengi tu
 
je umeshatembelea profile zao kuona mara ya mwisho humu walilog in lini?...
 
Kabla mtu ajafa atoe taarifa!! Anyway utani tu, mwenzetu akifa taarifa itolewe mana mimi nina iman kama uko jf kwa mda kiasi lazima kuna mtu mmoja au zaidi atakuwa nakufahamu au mmeshawahi contact directly naye anaweza leta taarifa humu.
 
Kuna wengine wapo strictly anonymous. So hata akifa haiwezu kujulikana.
Binafsi naamini kuna members wengi sana wamefariki sema walikuwa hawafahamiani na watu wa humu in their real life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…