Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
natumai bado unapumua baba kisura. Gonga hata like kuonesha uhai wako.
shika neno tenda neno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natumai bado unapumua baba kisura. Gonga hata like kuonesha uhai wako.
Mambo ni safi mkuu...nisalimie shemeji yangu Beautiful Onyinye.hahahaaa!!! no no no no !!! napenda tu mwenyewe kubadili avatar mkuu!
basi tu kuna njemba tulibadilishana mawazo kwa pm naona ndio ikasambaza detail kwa ntu nyingine..
kwema lakini?
Tena nimewaagiza kuwa siku hiyo ikifika waweke na picha yangu na jina langu la uraiani kabisa.
Siku hiyo lazima mbaki vinywa wazi.
Hellow wakuu.
Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku hivyo aje awajulishe kuwa queenkami is no more.
Hii imenifanya nifikirie kuwa labda baadhi ya wenzetu ambao tulikua nao humu siku zote kisha wakapotea moja kwa moja labda wameshatangulia mbele za haki.
Pamoja na kuwa wengine wanaweza kuwa wameamua kuwa wasomaji au kubadilisha ID lakini nina amini wapo wenzetu waliofariki bila sisi kufahamu.
Ni Chetuntu tu ndiye tuliweza kufahamishwa kuwa member mwenzetu hatunaye tena.Na dedicate wimbo huu kwa Chetuntu na wengine wote waliotutangulia.R.I.P.
je umeshatembelea profile zao kuona mara ya mwisho humu walilog in lini?...Habarini, nauliza ikiwa imetokea kwa mfano mtu amekufa na ni mwanachama mwenzetu wa Jf habari za kifo chake zitafikaje maana humu sio wote wanaojuana. Kuna wengine ID zao ni kubwa tu humu ndani ila hawajawahi kukutana na mwana Jf.. Mwisho nawaulizia hawa watu mbona siku nyingi sijawaona
Miss chaga
Watu8
Na wengineo wengi tu
Nimemuona kwenye WAKONGWE THREAD BUT BEFORE HAPO sikumwona MMISS SANAmiss chagga was last seen:
Yesterday at 6:08 PM
ukisoma kwa bidii utamsoma Watu8, So study hard.Nimemuona kwenye WAKONGWE THREAD BUT BEFORE HAPO sikumwona MMISS SANA
JE HUYU WATU8 MBONA SIMSOMI KABISA