Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

kujua ni ngumu coz sidhani kama dhumuni la jf ni kujuana, na huu ufake wa majina, sura, uandishi etc
 
Hahaha K 4 life katuni sana yule jamaa sijui kapotelea wapi ila huyo wa stendi na chopa sijui nini atakua na vinasaba vya K 4 Life
 
Inabidi kuwe na special thread ambayo ni attendance
mtu asipoonekana hapo miaka miwili tunamfanyia sala
Hahahaaaaaaa. Anzisha hiyo mkuu inahusika sana
😀😀😀
 
Kabla mtu ajafa atoe taarifa!! Anyway utani tu, mwenzetu akifa taarifa itolewe mana mimi nina iman kama uko jf kwa mda kiasi lazima kuna mtu mmoja au zaidi atakuwa nakufahamu au mmeshawahi contact directly naye anaweza leta taarifa humu.
Kuna umuhimu wa kujuana pia.
 
Kuna wengine wapo strictly anonymous. So hata akifa haiwezu kujulikana.
Binafsi naamini kuna members wengi sana wamefariki sema walikuwa hawafahamiani na watu wa humu in their real life.
Ndo madhara ya ID feki.
 
Binafsi mimi niko na baadhi ya marafi tunaowasiliana nje na jf, huenda wanaweza wakapewa taarifa kama nikirest in piece.
 
Binafsi mimi niko na baadhi ya marafi tunaowasiliana nje na jf, huenda wanaweza wakapewa taarifa kama nikirest in piece.
Na hicho ndivyo kinachotakiwa angalau ujuane na watu kadhaa na muwe marafiki taarifa itatufikia na hata kwenye misiba tunaweza kuudhuria
 
Na hicho ndivyo kinachotakiwa angalau ujuane na watu kadhaa na muwe marafiki taarifa itatufikia na hata kwenye misiba tunaweza kuudhuria
Naomba hata wewe tujuane nje ya jf please, unaweza ni PM.
 
Minakufa leo ndonawajuza nipen rambirambi kabisa... Rip to me
 
Inabidi tuanze kua na secret friend ambaye utampa details zako zote ikiwa ni pamoja na adress,namba za cm,unapoishi kila kitu na umuandike kwy wosia kwamba mtu huyu apigiwe simu atoe taarifa JF!
Ntu huyo ni mods...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…