Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha K 4 life katuni sana yule jamaa sijui kapotelea wapi ila huyo wa stendi na chopa sijui nini atakua na vinasaba vya K 4 LifeHuyo wa stendi kuna siku eti aliuliza itatoke nn iwapo utaweza kuyashka na kuyazuia mapanga ya chopa ikiwa angani..? Je body ya chopa itazunguka... Duuuuh hapo nilimpa shikamoo zake..
Akaja uliza eti aliechora raman ya dunia alikuaa kakaa wapi kipindi anachora...
Hahahaaaaaaa. Anzisha hiyo mkuu inahusika sanaInabidi kuwe na special thread ambayo ni attendance
mtu asipoonekana hapo miaka miwili tunamfanyia sala
Kuna umuhimu wa kujuana pia.Kabla mtu ajafa atoe taarifa!! Anyway utani tu, mwenzetu akifa taarifa itolewe mana mimi nina iman kama uko jf kwa mda kiasi lazima kuna mtu mmoja au zaidi atakuwa nakufahamu au mmeshawahi contact directly naye anaweza leta taarifa humu.
Ndo madhara ya ID feki.Kuna wengine wapo strictly anonymous. So hata akifa haiwezu kujulikana.
Binafsi naamini kuna members wengi sana wamefariki sema walikuwa hawafahamiani na watu wa humu in their real life.
Wazo zuri sana hili, ila ni ngumu watu kutimiza.Inabidi kuwe na special thread ambayo ni attendance
mtu asipoonekana hapo miaka miwili tunamfanyia sala
Na hicho ndivyo kinachotakiwa angalau ujuane na watu kadhaa na muwe marafiki taarifa itatufikia na hata kwenye misiba tunaweza kuudhuriaBinafsi mimi niko na baadhi ya marafi tunaowasiliana nje na jf, huenda wanaweza wakapewa taarifa kama nikirest in piece.
Naomba hata wewe tujuane nje ya jf please, unaweza ni PM.Na hicho ndivyo kinachotakiwa angalau ujuane na watu kadhaa na muwe marafiki taarifa itatufikia na hata kwenye misiba tunaweza kuudhuria
Minakufa leo ndonawajuza nipen rambirambi kabisa... Rip to meHabarini, nauliza ikiwa imetokea kwa mfano mtu amekufa na ni mwanachama mwenzetu wa Jf habari za kifo chake zitafikaje maana humu sio wote wanaojuana. Kuna wengine ID zao ni kubwa tu humu ndani ila hawajawahi kukutana na mwana Jf.. Mwisho nawaulizia hawa watu mbona siku nyingi sijawaona
Miss chaga
Watu8
Na wengineo wengi tu
Ntu huyo ni mods...Inabidi tuanze kua na secret friend ambaye utampa details zako zote ikiwa ni pamoja na adress,namba za cm,unapoishi kila kitu na umuandike kwy wosia kwamba mtu huyu apigiwe simu atoe taarifa JF!
Kitambo kidogo hatujawasiliana konda ...Atakuwa ndo yeye.
Unaishi wapi tufunge safari tukuje.. Parapanda inalia parapanda×2Minakufa leo ndonawajuza nipen rambirambi kabisa... Rip to me
[emoji24] [emoji24] mbeya mkuuUnaishi wapi tufunge safari tukuje.. Parapanda inalia parapanda×2
Tuma kwenye ile namba yng ya tigoUnaishi wapi tufunge safari tukuje.. Parapanda inalia parapanda×2
Rambiramb ntaituma ila Nataka na resit, tena ya ki electronic.. Kwa pamoja tunajenga uchumi.. imetolewa na TRATuma kwenye ile namba yng ya tigo