Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Muxar hakupotosha umma bali mngemuuliza ni Kabanga yupi au huyu wetu wa jf? maana huenda ana ndg,jamaa au rafiki aitwae Kabanga sasa kwanin asimtakie pumziko la milele kwa mfano yaani.ILA MUXAR........uwe unafafanua aiseee
Kuna mfanano hapa..
 
Nadhani kuna haja sasa ya kutengeneza urafiki zaidi ya jukwaani ili hata ikitokea la kutokea zitolewe taarifa humu
Haya maisha ya kuishi kwa kujibanza kama mijusi kwa kutumia avator feki hayatupeleki pazuri
 
Jukwaa la Siasa ndilo Sababu ya kuficha sura zetu.. Maana hauchelew Kujibizana na Watu kisha ukashangaa una mwagiwa tindikali
 
ni neno hilo mtoa mada...sema na hivi hatujuani zaidi ya haya majina ya humu, waweza shangaa unakwenda kwenye msiba wa ndg au rafiki yako au mtu yeyote tu unayemjua kumbe ndo mwana jamii forums mwenzako!...bila kujua hio...dah tumuachie Mwenyezi Mungu tu mtu ikitoea imejuliana amefariki basi tujaribu kushiriki na km haitajulikana basi tuomeane kheir tu ila wakati...
 
JF inakutanisha watu wengi na wengine hufikia kuwa marafiki wa karibu sana.
Mimi nilipojiunga JF wapo watu niliwakuta na wengine wakanikuta.Ila kuna baadhi ya watu wamekuwa kimya kwa miaka bila kuchangia au kuibua mijadala kama ilivyokuwa kawaida yao.
Inawezekana sio wenzetu tena walishatangulia mbele ya haki,Ni vizuri kama unamjua mwana JF alikuwa hapa na sasa ni marehemu utusaidie kumtaja hapa.Ili tujue na tuendelee kumwombea kwa Mungu ampe pumziko huko aliko.
Kumbuka kifo hakina taarifa,Hivyo naamini kunawezetu wameshatangulia ila hatujui.
 
mkuu kufa ni kitu kingine... R.I.P jf members wot wanaokula bata maangn
 
Mohamed Mtoi na Mwl Kaijage .
Umenikumbushaa mbali sana.Mohamed Mtoi.Friend of mine, college mate, he was such a nice and sweet person on Earth. Mohammed Mtoi . Your wife, children are missing you dearly. You were a such good Father!
Happy Father's Day to you Muddy!!
 
Back
Top Bottom