Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Hebu fanya tuonane ....... mimi nipo Kibaigwa, kama upo dasalama, mimi nitakuja ijumaa, naleta mahindi hapo tandale, tuonane tuelewane tujuane halafu tukifa, watu wapewe taarifa humu jamvini. au wewe unasemaje?
Mutakufwaga wote, Nani atatoaga taarifa zenu?
 
queenkami umenigusa na huu ujumbe,yaan nimejikuta natafakari mambo mengi,siku mm cheusie roho itakapoacha mwili sijui nan atakuja jf kuwajulisha,ila roho yangu haitatulia nife bila kuambiwa R.I.P CHEUSIE na wana jf.Lazima nikifa wana jf waniambie R.I.P hivyo jamani nan anataka kukutana na cheusie mlimani city this weekend??sharti atakayekuja kama ni mkaka aje na mkewe?
Mie naja bt sina mke mie!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku moja ntakuja na picha ya mwanamke usijali, Cheusi dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DenaAmsi Kuna huyu pia Nani alikua anamjua?
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Kwa Uwezo Wa Mungu
Tutakuja Kuonana Tena Kwenye Uzima Wa Milele!!!!
 
Ukijiona umzima wa afya na unapumua mshukuru mola wako! Kifo ni fumbo na siri kubwa, umauti unapofika na roho ikauacha mwili.

Jitahidi sana kutafakari yale yote unayoyatenda katika Dunia hii. Kila baya litalipwa na kila nafsi itaonja umauti. Unapojiona unapumua sikwamba wewe ni mnyoofu sana la hasha Mungu amekupatia hiyo nafasi kwa kudra zake, hivyo basi tusiache kuwaombea marehemu wote na kuwatakia kheri.

Tumewapoteza members wetu wengi wa JF wengine tunataarifa zao na wengine hatuna taarifa zao ila walishatangulia mbele za haki. Basi tusiache kuwakumbuka, kuwaombea na kuenzi yale mema yao yote hapa jukwaani na kuutambua mchango wao!

Inna lillahi wa inna llayhi Raaji'oon

Innal lazeena aamanoo wa ‘amilus saalihaati kaanat lahum Jannaatul Firdawsi nuzulaa
 
Back
Top Bottom