Vegetarian
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 654
- 509
Nikweli kbs ndiyo maana members wa miji mbali mbali siku hizi hukutana. Jf ni kama familia 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona wengi tunajuwana na tunashare maisha mengine nje ya jf?
hivi mtu akifa wewe unataka ujuwe ili iweje? uchange rambirambi? ndio maana ulaya misiba ni mambo ya familia na kushiriki siku hizi mpaka upewe kadi ya mwaliko.
Na ubaya ni kwamba watu wengi si watunza siriwazo zuri, ila itakuwa vyema kama ukiwa na best ambaye anaweza kutunza siri!
linaweza kukulipukia siku moja kwa kuvujishiwa siri zako kama nilivyofanyiwa mimi bwana!
nilimuamini sana mtu nikampa detail zangu kidogo tu, shangaa sasa zikasambaa kwa mtu mwingine humu ambae hata hanijui dadeki...
wazo zuri, ila itakuwa vyema kama ukiwa na best ambaye anaweza kutunza siri!
linaweza kukulipukia siku moja kwa kuvujishiwa siri zako kama nilivyofanyiwa mimi bwana!
nilimuamini sana mtu nikampa detail zangu kidogo tu, shangaa sasa zikasambaa kwa mtu mwingine humu ambae hata hanijui dadeki...
Solution ni ku register with verified names
Na ubaya ni kwamba watu wengi si watunza siri
Mlango upo wazi mamito, ni wazo zuri sana.,.,.r.i.p chetuntu,queen umeongea la maana sana.kuna haja ya kutafuta mtu humu anijue kiukweli
Pole mkuu, au ndiyo sababu ya kubadili avatar kila siku?mi nimekoma kutoboa siri ndogo niliyonayo.... kumwambia tu mtu naishi wapi na nafanya nini, basi kan'tangaza huyooo mpaka n'kajuta!...
Hellow wakuu.
Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku hivyo aje awajulishe kuwa queenkami is no more.
Hii imenifanya nifikirie kuwa labda baadhi ya wenzetu ambao tulikua nao humu siku zote kisha wakapotea moja kwa moja labda wameshatangulia mbele za haki.
Pamoja na kuwa wengine wanaweza kuwa wameamua kuwa wasomaji au kubadilisha ID lakini nina amini wapo wenzetu waliofariki bila sisi kufahamu.
Ni Chetuntu tu ndiye tuliweza kufahamishwa kuwa member mwenzetu hatunaye tena.Na dedicate wimbo huu kwa Chetuntu na wengine wote waliotutangulia.R.I.P.
kuna member nilikua nawapenda sana siku lkn siku hizi siwaoni,na walionesha sana kuipenda sana JF ndo nikapata mawazo kuwa huwenda wako kama mm na labda wamefariki hivyo hakuna wakutujulisha.Kwa kweli kuna member humu nawapenda sana kwa michao na picha niliyojijengea juu yao hivyo japo sijui hata wanafananaje nawezaa kulia nikisia wametutoka.So ni mawazo kama haya ndo yamekua chanzo cha hii thread..
Hapo blue amina.
queenkami Nikupe kabisa R.I.P kabla hujafa maana ukifa sijui kama nitapata wa kunijuza!