Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Nikweli kbs ndiyo maana members wa miji mbali mbali siku hizi hukutana. Jf ni kama familia 1
 
wazo zuri, ila itakuwa vyema kama ukiwa na best ambaye anaweza kutunza siri!

linaweza kukulipukia siku moja kwa kuvujishiwa siri zako kama nilivyofanyiwa mimi bwana!

nilimuamini sana mtu nikampa detail zangu kidogo tu, shangaa sasa zikasambaa kwa mtu mwingine humu ambae hata hanijui dadeki...
 
mbona wengi tunajuwana na tunashare maisha mengine nje ya jf?

hivi mtu akifa wewe unataka ujuwe ili iweje? uchange rambirambi? ndio maana ulaya misiba ni mambo ya familia na kushiriki siku hizi mpaka upewe kadi ya mwaliko.
 
Wewe kufahamian na watu wawili watatu haina maana ya kuwa wenGi wanafahamiana. Mtu akifa unatak ujue ili iwe nini? Upo serious? Hilo nalo ni swali kumbe?????
 
wazo zuri, ila itakuwa vyema kama ukiwa na best ambaye anaweza kutunza siri!

linaweza kukulipukia siku moja kwa kuvujishiwa siri zako kama nilivyofanyiwa mimi bwana!

nilimuamini sana mtu nikampa detail zangu kidogo tu, shangaa sasa zikasambaa kwa mtu mwingine humu ambae hata hanijui dadeki...
Na ubaya ni kwamba watu wengi si watunza siri
 
wazo zuri, ila itakuwa vyema kama ukiwa na best ambaye anaweza kutunza siri!

linaweza kukulipukia siku moja kwa kuvujishiwa siri zako kama nilivyofanyiwa mimi bwana!

nilimuamini sana mtu nikampa detail zangu kidogo tu, shangaa sasa zikasambaa kwa mtu mwingine humu ambae hata hanijui dadeki...

Excel siri ni ya mtu mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Hii mada imenigusa Mimi nadhan huu ni wakat wa kutafakar tufa ye nini ili tujuane
 
mi nimekoma kutoboa siri ndogo niliyonayo.... kumwambia tu mtu naishi wapi na nafanya nini, basi kan'tangaza huyooo mpaka n'kajuta!...
Pole mkuu, au ndiyo sababu ya kubadili avatar kila siku?
 
Hellow wakuu.

Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku hivyo aje awajulishe kuwa queenkami is no more.

Hii imenifanya nifikirie kuwa labda baadhi ya wenzetu ambao tulikua nao humu siku zote kisha wakapotea moja kwa moja labda wameshatangulia mbele za haki.

Pamoja na kuwa wengine wanaweza kuwa wameamua kuwa wasomaji au kubadilisha ID lakini nina amini wapo wenzetu waliofariki bila sisi kufahamu.

Ni Chetuntu tu ndiye tuliweza kufahamishwa kuwa member mwenzetu hatunaye tena.Na dedicate wimbo huu kwa Chetuntu na wengine wote waliotutangulia.R.I.P.

Tafuta hata marafiki wajue hili

Huwa najiuliza watu wanaenda wapi? wanavuma halafu wanapotea.
 
Last edited by a moderator:
kuna member nilikua nawapenda sana siku lkn siku hizi siwaoni,na walionesha sana kuipenda sana JF ndo nikapata mawazo kuwa huwenda wako kama mm na labda wamefariki hivyo hakuna wakutujulisha.Kwa kweli kuna member humu nawapenda sana kwa michao na picha niliyojijengea juu yao hivyo japo sijui hata wanafananaje nawezaa kulia nikisia wametutoka.So ni mawazo kama haya ndo yamekua chanzo cha hii thread..

Hapo blue amina.

queenkami umefanikiwa kunitoa machozi.....Return.If.Possible(R.I.P) waliotangulia mbele za haki
 
Such is life!!!!
...you die, others take over!!
.na tukishajua kuwa Eli79 amekufa, what next?
 
Last edited by a moderator:
Ujumbe umenigusa sana.Sasa mtu kama mimi naishi Mombasa,Kenya makazi Afghanistan hivi kuna yeyote atakayekuwa na ufahamu nikitangulia mbele za haki? Sijui ni mbinu gani yakutumia ya watu kujuana. R.I.P wote waliotangulia.
 
Daaah hii thread imenigusa jamani. Manake wengine tumejiunga tu jf na hata hatujulikani kama tumo humu. natumia muda wangu mwingi tu jf. Even though sio mchangiaji sana na wala sijawahi kuanzisha thread, nasoma mambo mengi sana ya jf na yananijenga na kunifurahisha pia. Sasa mtu kama mimi niki R.I.P, sio rahisi mtu kunotice

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: naa
Hellow wakuu.

Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku hivyo aje awajulishe kuwa queenkami is no more.

Hii imenifanya nifikirie kuwa labda baadhi ya wenzetu ambao tulikua nao humu siku zote kisha wakapotea moja kwa moja labda wameshatangulia mbele za haki.

Pamoja na kuwa wengine wanaweza kuwa wameamua kuwa wasomaji au kubadilisha ID lakini nina amini wapo wenzetu waliofariki bila sisi kufahamu.

Ni Chetuntu tu ndiye tuliweza kufahamishwa kuwa member mwenzetu hatunaye tena.Na dedicate wimbo huu kwa Chetuntu na wengine wote waliotutangulia.R.I.P.

Mod :
Mpeni DIAMOND KABISA
HUYU SIKUYAKE YA MWISHO LAZIMA NIHAKIKISHE ANAAGWA KWA HESHIMA ZOTE WALAHI PALE LEADERS ANA UJUMBE MZURI SANA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom