badiebey
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 5,875
- 3,112
wewe aga kabisa hapa! usijekurudishwa huko!
hehehe aisee mi natamani niishi hadi nione wajukuu zanguu lols
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe aga kabisa hapa! usijekurudishwa huko!
Didy ukiandika unakuwa fasta nini maana sentensi zako zinakuwa na makosa ya herufi.
Safi sana mama
Pole mkuu, au ndiyo sababu ya kubadili avatar kila siku?
Sisi wengine tukifa itakuwa vigumu sana kwa watu kujua humu.
hivi mimi nitakufa lini?
hivi mimi nitakufa lini?
He UPO
NIMEKUONA KWENYE LIST YA RIP YA QUEEN DAH
MOD MRUDISHEN KAMA MLISHAMFUTA
hivi mimi nitakufa lini?
Tatizo lako wewe pdidy wa kiburugwa unahisi kama utaishi milele.
Loh pole mkuu
Pengine Mgeni jf kuzingua kufurahisha mtu ndio furahayangu sorry kama nimekukwaza
Mpwa kufa ni wajibu lakini ni Mungu pekee mwenye siri hiyo.