Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

Nitamtafuta wa kuwaletea tarifa zangu humu....mana me mara nyingi ni msomaji tu humu kuchangia ni mara chache so isijekuwa nipo kimya kwa kipindi kirefu nikaonekana nisha-restishwa.kiukweli huu ni ushauri mzuri sana hilo halina ubishi.
 
Its true......ila mimi zitaletwa taarifa maana kuna watu wangu wakaribu wananifahamu na wanajua ID nayotumia wamo humu.
 
Pole mkuu, au ndiyo sababu ya kubadili avatar kila siku?

hahahaaa!!! no no no no !!! napenda tu mwenyewe kubadili avatar mkuu!

basi tu kuna njemba tulibadilishana mawazo kwa pm naona ndio ikasambaza detail kwa ntu nyingine..

kwema lakini?
 
mimi mpaka sasa namjua mmoja tu under 20 wetu mango g, the beautiful onyinye!!

aisee huyu manzi ni mzuri sijaona!! lol...

incase anything, consult huyu mlimbwende wetu...
 
Last edited by a moderator:
mie mwenyewe nishakufa tayari wakuu name no one noticed..... may my soul rest in peace AMEN.
 
Dah huu ujumbe mzuri.
Hivi nani ananifahamu,au hata wewe sikufahamu.
Naomba kumfahamu mtu hata mmoja,km upo tayari tuwasiliane angalau tupate hata lunch pamoja,ofisi nifanyayo kazi ipo karibu kabisa na mlimani city
 
Ukisoma baibo unawezakuta nusu yetu washakufa mwili tu umebaki kuandika JF LA MAANA TUSAFISHE NJIA ZETU SIKU YA KUTWALIWA UENDE IN PEACE
 
Haahaaaaaa marehemu watarajiwa wana mamboo asiependa JF LOH
 
Back
Top Bottom