Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

Hizi ni zama za kuibua na kukuza machawa, akina Mwijaku, Babalevo, Lucas mwashambwa, Maulidi Kitenge, n.k.
Unakosea kidogo....

Hata zamani MACHAWA walikuwepo....

Enzi za wanadiplomasia makamarada Dr.Salim walikuwa na marafiki zao MACHAWA....

Hawa machawa wamegawanyika vigawanyo vingi sana:-

1)Machawa Wasomi na wenye AKILI NA UFAHAMU MKUBWA

2)Machawa Wasomi wa kawaida

3)Machawa Wajuzi Wa Mambo Ya mitaani ikiwemo wasanii (wawekee hao akina Mwijaku na wenzake).

4)Machawa Bendera fuata upepo.

5) Machawa HAMASA , wao amsha amsha tu....

Kuna Machawa akina Mdude Nyagali....Machawa akina Erythrocytes....hawa nao wako "level" ya "ibada" kabisaa kule Chadema.....wanaabudu kumuabudu mtu...uchawa hatari kabisaa [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
I
 
"We are suffering from nepotism and applied Uchawa.Watu wa kufanya hizo kazi wapo ila kuna kakikundi ka watu kanaongozwa na Bwana Fulani ambaye yeye anajiona kuwa hii nchi ni yake,na ndiyo anaamua nani awe nani!
Huyu Bwana na genge lake amefanya tuonekane sisi kuwa taifa la watu Wajinga tusiojielewa.Rejea kampeni za kusaka nafasi ya ugombea Urais ndani CCM jinsi alivyochafuliwa Mwanadiplomasia Nguli kuwai kutokea kwenye taifa letu Dr.Salim kisa anautaka Urais.Kile Kigenge ndiyo kimerudi sasa kwa mlango wa nyuma kikiongozwa na Bwana yule ambaye ana lundo la Watanzania wengi wanamuona mtu wa maana kumbe ndiyo muaribifu wa taifa letu kupitia vijana wake Wahuni anao lazimisha wapewe madaraka!
Ile heshima tuliyokuwa nayo kwenye majukwa ya kimataifa haipo;Tanzania ilikuwa ikizungumza Dunia inasikiliza kuwa tunasema nini!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka leo TUNASIKILIZWA....

Wapi hatusikilizwi ?!![emoji15]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
....tumewasaidia Morocco kutofukuzwa UANACHAMA wa AU..

Shukran zao unajionea mwenyewe....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hao makatili wanaokandamiza Uhuru wa watu wa Sahrawi!
Enzi za hao Magwiji wa Diplomasia msimamo wetu ulikuwa kulitambua taifa la Sahrawi na kupinga ukandamizaji wa Morocco kwa taifa hilo.
Sasa Wanadiplomasia uchwara wa sasa wameongwa msikiti na Ujenzi wa Uwanja wa soka Dodoma wanabadilisha msimamo wa nchi.
Soma mada uelewa vizuri Sheikh!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Umegusa la mantiki....

Ni kweli kwa kizazi chetu tumesoma tu kuwa taifa letu lilikuwa na kiu ya kuiona SAHARA MAGHARIBI ikiwa huru....ila ufahamu kuwa "wana siasa zao "....

Nimesoma pahala kuwa hata tulipata kuunga mkono kujitenga kwa BIAFRA kutoka Nigeria....

Leo tumerudisha UHUSIANO wa kidiplomasia na kibalozi na ISRAEL....ulitaka tuendeleze "mbango" zilezile ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Aaaagh Sheikh mambo mengi yamebadilika basi na ukubali kuwa Tanzania bado ni NGULI wa DIPLOMASIA....[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Na watapotea sana... siku hizi huko chuo watoto hawasomi wapo busy na challenge za tiktok
Sasa wakaze fuvu na wakati nafasi zenye stream za maokoto hazihitaji hiyo seriousness. Ukilamba watu miguu unafika mbali hata kama una uwezo hafifu
 
Ubalozi kwa Tz ni sehemu ya kuwatupia watovu wa nidhamu. Hakuna clear policy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…