Sasa inashangaza kusikia eti hawana tena haki ya kufanya mtihani. Nimeambiwa ya kuwa Waraka wa Elimu No. 13 ndiyo umetumiwa kunyimwa haki yaoKisheria mwanafunzi akishasajiliwa ni lazima afanye mtihani awe mahabusu/magereza,hospitali au hajalipa Ada ya shule.Kama ni watovu wanidhamu na wamefukuzwa Shule wana haki ya kufanya mtihani.Awamu ya JPM ilibadili mambo mengi ngoja tuone.
Brother unapokosa la kuchangia ni hekima kukaa kimya tu. Siyo lazima kila post useme neno hata pale ambapo akili yako imefika ukomo wa kuiwazia issue inayoongelewaHuo waraka ulionao nenda nao kwa mwanasheria ili akufafanulie vizuri nadhani utakuwa umeelewa Cha kufanya ili usaidie warudi shuleni.
Sheria ipi hiyo?? Hebu itaje. Madogo hebu acheni kudanganyanaKisheria mwanafunzi akishasajiliwa ni lazima afanye mtihani awe mahabusu/magereza,hospitali au hajalipa Ada ya shule.Kama ni watovu wanidhamu na wamefukuzwa Shule wana haki ya kufanya mtihani.Awamu ya JPM ilibadili mambo mengi ngoja tuone.
Ni kanuni zipi hizo?? Zinasimamia sheria ipi ya elimu?? Je ni waraka namba ngapi wa elimu?? Hebu acheni kusikiliza maneno ya vijiweniMwanafunzi akishasajilwa kufanya mtihani lazima aufanye. Ni kanuni iliyowekwa na serikali miaka ya tisini ili kulinda haki za wanafunzi. Huko nyuma headmaster walijifanya Mungu watu na kuwazuia watahiniwa kwa baraka za bodi. Sasa hivi ikibidi wakati rufaa mara nyingi afisa elimu mkoa huwa ni watenda haki zaidi. Kama wakizubaa kanuni za life in the jungle zitatumika wazuiwe lakini nina imani mkuu wa shule atakayewazuia atabeba msalaba bodi ya shule itamruka arudi darasani uongozi ameshindwa.
Nyie ndiyo mnadanganyaga wenzenu alafu wakishaharibu mnawakana. Watoto wa siku hizi mnajifanya mnajua kumbe utopolo tuuSina haja ya kuiweka maana inakua kama ligi ila ukweli ndio huo
Naipongeza sana Bodi ya shule kwa kuwafukuzaKuna taarifa kuwa wanafunzi 22 wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush,wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao wa tano.
Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi March ambapo wanafunzi waliharibu gari la Mwalimu,na hivyo kupelekea bodi ya shule hiyo kukutana na kuamua wanafunzi hao wachukuliwe hatua hiyo.
Sambamba na hao,pia wapo wengine zaidi ya 30 ambao walirejeshwa makwao na wataruhusiwa kufanya mitihani yao wakitokea makwao.
Binafsi niwaombe wataalamu wa sheria wanisaidie ufafanuzi wa juu ya "Waraka wa Elimu No. 13" uliotumiwa na bodi ya shule hiyo kuondoa haki ya vijana hao kufanya mtihani na kupelekea vilio na majonzi kwa wazazi na walezi.
Akiwa na kosa la jinai baada ya usajili anapoteza sifa ya kufanya mtihani.Kisheria mwanafunzi akishasajiliwa ni lazima afanye mtihani awe mahabusu/magereza,hospitali au hajalipa Ada ya shule.Kama ni watovu wanidhamu na wamefukuzwa Shule wana haki ya kufanya mtihani.Awamu ya JPM ilibadili mambo mengi ngoja tuone.
Inamaana watazuiwa kufanya Mtihani?Waende kwa Wazuri awaruhusu kufanya PaperKisheria mwanafunzi akishasajiliwa ni lazima afanye mtihani awe mahabusu/magereza,hospitali au hajalipa Ada ya shule.Kama ni watovu wanidhamu na wamefukuzwa Shule wana haki ya kufanya mtihani.Awamu ya JPM ilibadili mambo mengi ngoja tuone.
Mwanafunzi akishasajiliwa kufukuzwa kwake inategemea na kosa alilofanya.Kuna taarifa kuwa wanafunzi 22 wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush,wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao wa tano.
Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi March ambapo wanafunzi waliharibu gari la Mwalimu,na hivyo kupelekea bodi ya shule hiyo kukutana na kuamua wanafunzi hao wachukuliwe hatua hiyo.
Sambamba na hao,pia wapo wengine zaidi ya 30 ambao walirejeshwa makwao na wataruhusiwa kufanya mitihani yao wakitokea makwao.
Binafsi niwaombe wataalamu wa sheria wanisaidie ufafanuzi wa juu ya "Waraka wa Elimu No. 13" uliotumiwa na bodi ya shule hiyo kuondoa haki ya vijana hao kufanya mtihani na kupelekea vilio na majonzi kwa wazazi na walezi.
Shida mleta mada kuna vitu hajaeleza.Inamaana watazuiwa kufanya Mtihani?Waende kwa Wazuri awaruhusu kufanya Paper
Mkuu Huu ni ushauri Wa mtu aliyekula makande ya ikungu lya mbeshi,unadhani waziri ni kama kaka mkuu,kwamba unaondoka Leo siku hiyohiyo unapata appointment ya kuonana naye?Inamaana watazuiwa kufanya Mtihani?Waende kwa Wazuri awaruhusu kufanya Paper
Nilisoma.hapo nilikuwa bweni la Chui ..kifupi ni shule nzuri enzi hizo hii shule imetoa madaktari na wavhumi wengiNaifahamu sana shybush,ni moja Kati ya shule za wanafunzi wavuta bhangi, yaani kuna kipindi walivunjavunja thamani za shule,wenzao wakakamatwa na polisi,walikwenda kuvamia kituo cha polisi maganzo,ufupi hatutakiwi kuwatetea
Naona kifahamu sababu za kufanya fujo na kuharibu mali ya mtumishiKuna taarifa kuwa wanafunzi 22 wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush,wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao wa tano.
Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi March ambapo wanafunzi waliharibu gari la Mwalimu,na hivyo kupelekea bodi ya shule hiyo kukutana na kuamua wanafunzi hao wachukuliwe hatua hiyo.
Sambamba na hao,pia wapo wengine zaidi ya 30 ambao walirejeshwa makwao na wataruhusiwa kufanya mitihani yao wakitokea makwao.
Binafsi niwaombe wataalamu wa sheria wanisaidie ufafanuzi wa juu ya "Waraka wa Elimu No. 13" uliotumiwa na bodi ya shule hiyo kuondoa haki ya vijana hao kufanya mtihani na kupelekea vilio na majonzi kwa wazazi na walezi.
Inasemekana hao vijana walikaa mahabusu zaidi ya siku tatu na polisi Kishapu wanaendelea na uchunguzi wake,ingawa hawajapelekwa mahakamaniMwanafunzi akishasajiliwa kufukuzwa kwake inategemea na kosa alilofanya.
Sheria unasema kuwa anaweza kufukuzwa kama ilo kosa likathibitishwa kuwa ni jinai, na anayeweza kuthibitisha ilo kosa ni jinai ni polisi.
Kama ikithibitishwa ni kosa la jinai basi mwanafunzi hata kama amesajiliwa basi atafukuzwa shule.
Naomba nikuulize mleta mada, je Ilo kosa limethibishwa kuwa ni jinai?
Au umelisikia tu bila kulifuatilia.
Hata hii leo nasikia iko vzr sn,tatizo linatajwa ni staff ya shule kufail katika eneo la usimamizi wa nidhamu kwa watotoNilisoma.hapo nilikuwa bweni la Chui ..kifupi ni shule nzuri enzi hizo hii shule imetoa madaktari na wavhumi wengi
Including Kimei , K igwangala , Ezekiel Maige na wengi tu
Shule inamazingira mazuri sana majengo nk
Enzi hizo iliitwa DUME LA KANDA
Nilisoma hapo o level mpaka A level hapo migomo ni jadi tulichimba mitaro sana na kusomba moramu kutoka bondeni....ila tulipasuwa mitihani kama kula Mapupu...ukiishi bweni la Chui au Tembo otomatiki unakuwa mkorofi na mujanjaHapo wangekula viboko vya kutosha na adhabu ya kutosha kisha wafanye mitihani yao,cz ndo hatima yao