Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Shinyanga kuzuiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2021

Kisheria mwanafunzi akishasajiliwa ni lazima afanye mtihani awe mahabusu/magereza,hospitali au hajalipa Ada ya shule.Kama ni watovu wanidhamu na wamefukuzwa Shule wana haki ya kufanya mtihani.Awamu ya JPM ilibadili mambo mengi ngoja tuone.
Sasa inashangaza kusikia eti hawana tena haki ya kufanya mtihani. Nimeambiwa ya kuwa Waraka wa Elimu No. 13 ndiyo umetumiwa kunyimwa haki yao
 
Huo waraka ulionao nenda nao kwa mwanasheria ili akufafanulie vizuri nadhani utakuwa umeelewa Cha kufanya ili usaidie warudi shuleni.
Brother unapokosa la kuchangia ni hekima kukaa kimya tu. Siyo lazima kila post useme neno hata pale ambapo akili yako imefika ukomo wa kuiwazia issue inayoongelewa
 
Kisheria mwanafunzi akishasajiliwa ni lazima afanye mtihani awe mahabusu/magereza,hospitali au hajalipa Ada ya shule.Kama ni watovu wanidhamu na wamefukuzwa Shule wana haki ya kufanya mtihani.Awamu ya JPM ilibadili mambo mengi ngoja tuone.
Sheria ipi hiyo?? Hebu itaje. Madogo hebu acheni kudanganyana
 
Mwanafunzi akishasajilwa kufanya mtihani lazima aufanye. Ni kanuni iliyowekwa na serikali miaka ya tisini ili kulinda haki za wanafunzi. Huko nyuma headmaster walijifanya Mungu watu na kuwazuia watahiniwa kwa baraka za bodi. Sasa hivi ikibidi wakati rufaa mara nyingi afisa elimu mkoa huwa ni watenda haki zaidi. Kama wakizubaa kanuni za life in the jungle zitatumika wazuiwe lakini nina imani mkuu wa shule atakayewazuia atabeba msalaba bodi ya shule itamruka arudi darasani uongozi ameshindwa.
Ni kanuni zipi hizo?? Zinasimamia sheria ipi ya elimu?? Je ni waraka namba ngapi wa elimu?? Hebu acheni kusikiliza maneno ya vijiweni
 
Kuna taarifa kuwa wanafunzi 22 wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush,wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao wa tano.

Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi March ambapo wanafunzi waliharibu gari la Mwalimu,na hivyo kupelekea bodi ya shule hiyo kukutana na kuamua wanafunzi hao wachukuliwe hatua hiyo.
Sambamba na hao,pia wapo wengine zaidi ya 30 ambao walirejeshwa makwao na wataruhusiwa kufanya mitihani yao wakitokea makwao.

Binafsi niwaombe wataalamu wa sheria wanisaidie ufafanuzi wa juu ya "Waraka wa Elimu No. 13" uliotumiwa na bodi ya shule hiyo kuondoa haki ya vijana hao kufanya mtihani na kupelekea vilio na majonzi kwa wazazi na walezi.
Naipongeza sana Bodi ya shule kwa kuwafukuza
ILI IWE FUNDISHO NA KWA WENGINE..
 
Mwanafunzi kutoka familia maskini hana haki.Mtapoteza muda bure tu.Waangalie njia nyingine ambayo huenda Mungu amewaafungulia.
 
Ops my Shool my headmaster Msaki aka James Bond Riviera garden father Tourkas mpishi Mashenene
 
Kisheria mwanafunzi akishasajiliwa ni lazima afanye mtihani awe mahabusu/magereza,hospitali au hajalipa Ada ya shule.Kama ni watovu wanidhamu na wamefukuzwa Shule wana haki ya kufanya mtihani.Awamu ya JPM ilibadili mambo mengi ngoja tuone.
Akiwa na kosa la jinai baada ya usajili anapoteza sifa ya kufanya mtihani.
 
Kisheria mwanafunzi akishasajiliwa ni lazima afanye mtihani awe mahabusu/magereza,hospitali au hajalipa Ada ya shule.Kama ni watovu wanidhamu na wamefukuzwa Shule wana haki ya kufanya mtihani.Awamu ya JPM ilibadili mambo mengi ngoja tuone.
Inamaana watazuiwa kufanya Mtihani?Waende kwa Wazuri awaruhusu kufanya Paper
 
Kuna taarifa kuwa wanafunzi 22 wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush,wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao wa tano.

Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi March ambapo wanafunzi waliharibu gari la Mwalimu,na hivyo kupelekea bodi ya shule hiyo kukutana na kuamua wanafunzi hao wachukuliwe hatua hiyo.
Sambamba na hao,pia wapo wengine zaidi ya 30 ambao walirejeshwa makwao na wataruhusiwa kufanya mitihani yao wakitokea makwao.

Binafsi niwaombe wataalamu wa sheria wanisaidie ufafanuzi wa juu ya "Waraka wa Elimu No. 13" uliotumiwa na bodi ya shule hiyo kuondoa haki ya vijana hao kufanya mtihani na kupelekea vilio na majonzi kwa wazazi na walezi.
Mwanafunzi akishasajiliwa kufukuzwa kwake inategemea na kosa alilofanya.
Sheria unasema kuwa anaweza kufukuzwa kama ilo kosa likathibitishwa kuwa ni jinai, na anayeweza kuthibitisha ilo kosa ni jinai ni polisi.
Kama ikithibitishwa ni kosa la jinai basi mwanafunzi hata kama amesajiliwa basi atafukuzwa shule.
Naomba nikuulize mleta mada, je Ilo kosa limethibishwa kuwa ni jinai?
Au umelisikia tu bila kulifuatilia.
 
Naifahamu sana shybush,ni moja Kati ya shule za wanafunzi wavuta bhangi, yaani kuna kipindi walivunjavunja thamani za shule,wenzao wakakamatwa na polisi,walikwenda kuvamia kituo cha polisi maganzo,ufupi hatutakiwi kuwatetea
Nilisoma.hapo nilikuwa bweni la Chui ..kifupi ni shule nzuri enzi hizo hii shule imetoa madaktari na wavhumi wengi
Including Kimei , K igwangala , Ezekiel Maige na wengi tu
Shule inamazingira mazuri sana majengo nk
Enzi hizo iliitwa DUME LA KANDA
 
Kuna taarifa kuwa wanafunzi 22 wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush,wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao wa tano.

Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi March ambapo wanafunzi waliharibu gari la Mwalimu,na hivyo kupelekea bodi ya shule hiyo kukutana na kuamua wanafunzi hao wachukuliwe hatua hiyo.
Sambamba na hao,pia wapo wengine zaidi ya 30 ambao walirejeshwa makwao na wataruhusiwa kufanya mitihani yao wakitokea makwao.

Binafsi niwaombe wataalamu wa sheria wanisaidie ufafanuzi wa juu ya "Waraka wa Elimu No. 13" uliotumiwa na bodi ya shule hiyo kuondoa haki ya vijana hao kufanya mtihani na kupelekea vilio na majonzi kwa wazazi na walezi.
Naona kifahamu sababu za kufanya fujo na kuharibu mali ya mtumishi
 
Mwanafunzi akishasajiliwa kufukuzwa kwake inategemea na kosa alilofanya.
Sheria unasema kuwa anaweza kufukuzwa kama ilo kosa likathibitishwa kuwa ni jinai, na anayeweza kuthibitisha ilo kosa ni jinai ni polisi.
Kama ikithibitishwa ni kosa la jinai basi mwanafunzi hata kama amesajiliwa basi atafukuzwa shule.
Naomba nikuulize mleta mada, je Ilo kosa limethibishwa kuwa ni jinai?
Au umelisikia tu bila kulifuatilia.
Inasemekana hao vijana walikaa mahabusu zaidi ya siku tatu na polisi Kishapu wanaendelea na uchunguzi wake,ingawa hawajapelekwa mahakamani
 
Shida mleta mada kuna vitu hajaeleza.
Je Ilo kosa limefikishwa polisi na mahakamani Mana kufukuzwa shule ukishasajiliwa ni mpaka uwe na kosa la jinai.
Mahakaman hawajafikishwa but wamekaa mahabusu siku 3
 
Nilisoma.hapo nilikuwa bweni la Chui ..kifupi ni shule nzuri enzi hizo hii shule imetoa madaktari na wavhumi wengi
Including Kimei , K igwangala , Ezekiel Maige na wengi tu
Shule inamazingira mazuri sana majengo nk
Enzi hizo iliitwa DUME LA KANDA
Hata hii leo nasikia iko vzr sn,tatizo linatajwa ni staff ya shule kufail katika eneo la usimamizi wa nidhamu kwa watoto
 
Hapo wangekula viboko vya kutosha na adhabu ya kutosha kisha wafanye mitihani yao,cz ndo hatima yao
Nilisoma hapo o level mpaka A level hapo migomo ni jadi tulichimba mitaro sana na kusomba moramu kutoka bondeni....ila tulipasuwa mitihani kama kula Mapupu...ukiishi bweni la Chui au Tembo otomatiki unakuwa mkorofi na mujanja
 
Back
Top Bottom