Kwahiyo shule ndio inawafundisha utukutu na walimu wameshindwa kuwabadili tabia... Maana kila Mwaka Wanafunzi wanagraduate inakuwaje shule imaendelea kuitwa ya wakorofi au wao wanapangiwa walioshindikana?Naifahamu sana shybush,ni moja Kati ya shule za wanafunzi wavuta bhangi, yaani kuna kipindi walivunjavunja thamani za shule,wenzao wakakamatwa na polisi,walikwenda kuvamia kituo cha polisi maganzo,ufupi hatutakiwi kuwatetea
Wakate rufaa ,huenda watoa maamuzi wakawa shapunguza hasiraNIMEIELEWA HII KAKA AHSANTE!
Sasa kwa mkao wa hili suala hawa waende wapi na kwa nani kwa haraka wasaidike?
Baada ya kutoka mahabusu wameambiwa nini polisi.Mahakaman hawajafikishwa but wamekaa mahabusu siku 3
Duh! Mbona hatari hii jamani. Peer pressure kuideal sometime panahitajika matumizi ya hekima na busara zaidi kuliko sheria. Coz utaona kwene case hii wazazi ndiyo wanabaki na vilio zaidi.
na mimba jpm alisema au unasema weweKisheria mwanafunzi akishasajiliwa ni lazima afanye mtihani awe mahabusu/magereza,hospitali au hajalipa Ada ya shule.Kama ni watovu wanidhamu na wamefukuzwa Shule wana haki ya kufanya mtihani.Awamu ya JPM ilibadili mambo mengi ngoja tuone.
Kuna taarifa kuwa wanafunzi 22 wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush,wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao wa tano.
Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi March ambapo wanafunzi waliharibu gari la Mwalimu,na hivyo kupelekea bodi ya shule hiyo kukutana na kuamua wanafunzi hao wachukuliwe hatua hiyo.
Sambamba na hao,pia wapo wengine zaidi ya 30 ambao walirejeshwa makwao na wataruhusiwa kufanya mitihani yao wakitokea makwao.
Binafsi niwaombe wataalamu wa sheria wanisaidie ufafanuzi wa juu ya "Waraka wa Elimu No. 13" uliotumiwa na bodi ya shule hiyo kuondoa haki ya vijana hao kufanya mtihani na kupelekea vilio na majonzi kwa wazazi na walezi.
Hapana,haina ukweli kuwa wote wanaopangiwa kusoma pale ni wakorofi. Shule yenyewe inatengeneza ukorofi wa watoto,na ndiyo maana unasikia hapa kila mmoja anayeielewa anaisemea hilo. Brother,ktk fikra za kawaida kabisa,inatokeaje watoto waandamane usiku wa manane na had vipofu wakokotwe na wenzao pasipo staff kujua??? Na zaidi watembee km 15 shule bila taarifa...kweli!!!!?????Kwahiyo shule ndio inawafundisha utukutu na walimu wameshindwa kuwabadili tabia... Maana kila Mwaka Wanafunzi wanagraduate inakuwaje shule imaendelea kuitwa ya wakorofi au wao wanapangiwa walioshindikana?
Shida mleta mada kuna vitu hajaeleza.
Je Ilo kosa limefikishwa polisi na mahakamani Mana kufukuzwa shule ukishasajiliwa ni mpaka uwe na kosa la jinai.
Huzuiwi kuutumia ulimi wako brother as long as MUNGU alishaijua hasara aliyoiingia ya kuukupa!Kwa hiyo wewe unaona wana haki bila kuangalia utovu wa nidhamu na uharibifu walioufanya! Haki ywa mwanafunzi ni kifanya fujo shuleni! Wewe ni mpumbavu kabisa na si ajabu ni mmoja wa hao wajinga na majuha waliotimuliwa pale shuleni!
Nilisoma.hapo nilikuwa bweni la Chui ..kifupi ni shule nzuri enzi hizo hii shule imetoa madaktari na wavhumi wengi
Including Kimei , K igwangala , Ezekiel Maige na wengi tu
Shule inamazingira mazuri sana majengo nk
Enzi hizo iliitwa DUME LA KANDA
Upelelezi unaendeleaBaada ya kutoka mahabusu wameambiwa nini polisi.
Mana huku niliko kuna wanafunzi wawili wa kidato cha sita wamefukuzwa shule baada ya kumfungia mwanafunzi wa kidato cha tano mmoja ndani na kumpa kipigo cha kutosha.
Wamepelekwa polisi na kukutwa na kosa la jinai ivyo wamefukuzwa shule na wapo hapa mtaani tangu wiki iliyopita.
Huenda uko sahihi,lkn hebu wazia mzazi ambaye hajawahi kujulishwa utovu wa nidhamu wowote unaitiwa mtoto kufukuzwa tu....inauma snMpaka kikao cha bodi kinakaa ujue walishakanywa zaidi ya mara moja lakini bado wakarudia. Kuna wanafunzi ni wakorofi sana hata wasamehewe mara 100 bado hawabadiliki.
Huenda uko sahihi,lkn hebu wazia mzazi ambaye hajawahi kujulishwa utovu wa nidhamu wowote unaitiwa mtoto kufukuzwa tu....inauma sn
Kuna taarifa kuwa wanafunzi 22 wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush,wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi ujao wa tano. Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi March ambapo wanafunzi waliharibu gari la Mwalimu,na hivyo kupelekea bodi ya shule hiyo kukutana na kuamua wanafunzi hao wachukuliwe hatua hiyo. Sambamba na hao,pia wapo wengine zaidi ya 30 ambao walirejeshwa makwao na wataruhusiwa kufanya mitihani yao wakitokea makwao. Binafsi niwaombe wataalamu wa sheria wanisaidie ufafanuzi wa juu ya "Waraka wa Elimu No. 13" uliotumiwa na bodi ya shule hiyo kuondoa haki ya vijana hao kufanya mtihani na kupelekea vilio na majonzi kwa wazazi na walezi.
Mwanafunzi aliyefanya kosa la jinai haruhusiwi kufanya mtihaniMimi ni mdau katika masuala ya elimu.Najua kwamba mwanafunzi hata akifukuzwa ilimradi alisajiliwa lazima afanye mtihani.Sielewi unaposema kuwa wapo ambao wamefukuzwa halafu wameruhusiwa kuja kufanya mtihani na wapo ambao hawaruhusiwi.Hicho kitu hakipo katika sheria za Necta za sasa hivi.Kwenye shule kuna "suspension" na "expulsion".
Suspension- mwanafunzi anapfukuzwa kwa muda fulani labda wiki 2 au mwezi halafu anarudi shuleni.
Expulsion- mwanafunzi anafukuzwa shule moja kwa moja.Ila kama ni wa darasa la mtihani na amesajiliwa ni lazima arudi kufanya mtihani katika kituo chake.hapo atakuwa anatoka nyumbani anaingia shuleni moja kwa moja kwenye chumba cha mtihani akimaliza anatoka tena nje ya mazingira ya shule.
Hivyo mtoa mada labda hajaelewa vizuri.Inawezekana hao wengine walipewa suspension tu na wengine expulsion, lakini wote wanatakiwa kufanya mitihani.